Ikiwa mwaka 2020 kutakua na wawakilishi wa mamba bungeni basi mchagueni tu huyo bibi maana anafaa zaidi kuwakilisha mamba kwa muonekano wake!Hii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.
Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.
Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.
Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?
Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.
Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.
Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.
Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.
La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.
Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?
Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.
Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.
Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Due to her arrogance of higher level she will fail miserably,she is doing everything possible as deputy Speaker to please Mr President to have mercy on her to clinch Mbeya town Constituency but that is never easy coz mbeya is cosmopolitan city with knowledgeable educated people, not brainwashed as she might think,better this Woman humble herself and respect all people regardless of their political affiliation,
Prides comes before fall
Nyie Na nani?Sisi tunasimama na Tulia . Naona kama uchaguzi unachelewa Dr Tulia achukue jimbo
Kama liprofrseli macho kodooo[emoji116]Mbunge aliyesajiliwa dirisha dogo kama Le Profeseli
Umeongea point kubwa kabisaKama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
mm nakapenda kamama kale, kanajitolea sana hata kama kanataka kugombea mm naweza kukapa kalete maendeleo hata kwa mlango wa nyuma tu
Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Mkuu usisahau kitu kimoja. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM hahitaji kushinda uchaguzi ili kutangazwa kuwa mshindi. Kuna DED mmoja aliniambia wale wabunge wa upinzani waliotangazwa kushinda ilikuwa hivyo kwa ajili ya sababu mbili - moja angalau kuonyesha upinzani nao wanashinda hasa sehemu ambazo ilikuwa wazi upinzani wana nguvu zaidi, pili ni kwa kuwa CCM hawakuwa wanamuona mgombea wao kuwa atawasaida sana akiwa mbunge.huyo labda awe mbunge wa ikulu maisha yake yote ila kwenye sanduku la kura hapiti.
means hata ikitumika figisu atabaki kuwa mbunge wa Ikulu kwasabab order ya hiyo figisu inatoka Ikulu.Mkuu usisahau kitu kimoja. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM hahitaji kushinda uchaguzi ili kutangazwa kuwa mshindi. Kuna DED mmoja aliniambia wale wabunge wa upinzani waliotangazwa kushinda ilikuwa hivyo kwa ajili ya sababu mbili - moja angalau kuonyesha upinzani nao wanashinda hasa sehemu ambazo ilikuwa wazi upinzani wana nguvu zaidi, pili ni kwa kuwa CCM hawakuwa wanamuona mgombea wao kuwa atawasaida sana akiwa mbunge.
Kwa hiyo suala la Tulia kugombea ubunge ni formality tu, matokeao tayari yanajulikana; Sugu atapata kura zaidi lakini Tulia atapata Ubunge.
Then huyo DED kwa swala la Mbeya kakuongopea au hajui tu kuwa SUGU alipata kura nyingi kuliko mbunge yoyote hapa Tanzania, unaanza wapi kumkata mtu wa namna hii??
unasimama na nani njoo jakaranda hapa tupige storySisi tunasimama na Tulia . Naona kama uchaguzi unachelewa Dr Tulia achukue jimbo