Wana Mbeya, sikilizeni msiwe wabishi!

Wana Mbeya, sikilizeni msiwe wabishi!

Ni akina nani hao wamekaa wanashambuliwa hivyo then wanajichekesha kinafki
 
Kuna mambo yanaudhi sana. Hebu chukulia tu huyu ni Mkuu mpya wa Mkoa. Kwa kusema haya aliyoyasema, amejitengenezea chuki Isiyo ya lazima kwa Wananchi. Heri angekuwa mpole kama Amos Makala. Mbeya watu ni waelewa sana. Alikuwepo Mpesya CCM, alifanya nini hapo jiji, alikuwepo Kandoro CCM hakuwa mwongeaji lakini mbona alisimamia mkoa vizuri?.

Huyo Afisa hawajui vizuri watu wa Mbeya. Ni wachamungu lakini asiwachokoze kabisaaa.Nahisi kumuonea huruma maana atapata tabu sana
 
Mbeya Mmepatikana mtapata taabu sana hahahahahahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom