Wana Mbeya, sikilizeni msiwe wabishi!

Kilaza Huyo Geita,Shy nk zinaongozwa na CCM kuna nini cha maana? licha ya migodi ya madini kuwepo huko? nonsense
 
Huyu kichaa hana hata mwezi toka aletwe Mbeya. Kandoro alichemka angalau kidogo huyu aliyepita kwa kiasi angefaulu huyu Pimbi hapigi raundi. Yaani yuko open kupiga kampeni.
Where are they picking this type of people to be leaders at all. Hana hata mindset ya uongozi. Foolish.
 
Ndio maana Wazungu walizawadiwa kuendelea...Mwafrika shida sana MTU kama huyo ni taswira tu ya baadhi ya tabia zetu
 
Jiwe hajawahi kanyaga mbeya toka azomewe na akija mbeya lazima haki yake aipate tu kuzomewa halali yake hatushabikii ujinga sisi tunataka maendeleo. Tupo tayari kuchangishana tukajenga shule huduma za afya lakini kaweka mgomo na hakuna kinachofanyika.Halafu unalisikia limtu kama hili poyoyo kabisa linasema nyoonyooonyooooo ccm nawaambia mtaokotea kunyavu.
 
Huyu lecture wangu kawa mpuuzi dadeki, mbeya ilishatengwa kitambo sana na bado inapambana na kuwapa mapato, kiufupi mbeya inaweza kuwa nchi nyingine ikijitenga na tz, asipojiangalia atasababisha vurugu za kipuuzi kama zile za Late Kandoro.
 
Back
Top Bottom