Wana Lipuli Chagueni viongozi wanaoipenda LIPULI.

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Katika hali isiyo nzuri kama Time ya Lipuli itapangiwa nano awe kiongozi ktk Club hio huwenda wasifanye vizuri huko mbele wanapokwenda.

Imani yangu iliopo kwa sasa juu ya mpira WA Tanzani no ndogo sana kwa sabab ya migogoro isio isha kila msimu wa Moira unapoanza au katikati ya safari.

Kwa hili naimani kuwa hata maandalizi ya nani awe bingwa huenda hufanyika.


Hivyo wana Lipuli wachwe wachague viongozi wao wamalize kupitia wanachama harali wa Club hio.

Lakin kama wataamuliwa awe nano kiongozi WA timu. Hali ya Club hio itabaki nyuma tofauti na kipindi hicho cha Baba WA Taifa.

thank you!!!! naipenda michezo
 
Tatizo matimu yenu ya siasa simba na Yanga.Ndio wanapenda kuweka watu wao humo. Kwa faida ya mpira wa Tanzania,simba na yanga ziuzwe ili zitoke kwenye umiliki wa jamii.Hii itasaidia watu wengine kuwekeza kwa faida kwenye timu ndogo. Utaona michango mingi hapa itakuwa ya kisiasa badala ya mpira.Lipuli isimame kama Lipuli na singida united nayo isiwe na mambo ya kivyuravyura.Hapo watu watawekeza kwa faida. Angalia matimu ya mwanza yote yamekaa kivyuravyura tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom