Urais JK asilimia 75 na Slaa asilimia 24
uraisi kyela JK2331950%SLAA2140945.98%NDO IMETOLEWA NA NEC AT 8:59PM
Ushindi wake ni wa 90.55 % ni mfano wa kuigwa
NCCR 1995 ilikuwa nayo juu,2010 ni hivi je 2015 itakuwaje, huu ni mfano wa kuigwa jamani
Hawa wananchi wa Kyela sio mabwege, wanajua wanachokifanya.
Wakati Mwakyembe amepata 41,214(90.14%), Rais wake amepata 23,319 (50%) tu.