Elections 2010 Wana kyela WHAT THEY PROMISE IS WHAT THEY DELIVER NO JOKES

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
DK HARRISON MWAKYEMBE
CCM
41,214


2

YUSUF KASANDE
CUF
336


3

EDDO MWAMALALA
CHADEMA
3,964
Ushindi wake ni wa 90.55 % ni mfano wa kuigwa
 
hongera sana mh. Mwakyembe. Jemedari wa wana kyela. Nenda kafanye kazi kwa bidii zaidi na kwa bahati nzuri vimeongezeka vichwa vikali zaidi toka chadema hope mtashirikiana vyema.
 
uraisi kyela
jk 23319(50%)
slaa 21409(45.98%)
ndo imetolewa na nec at 8:59pm
 
Well , mimi ni mwanamapinduzi kwa hiyo siifagilii ccm hata kidogo, lakini nafurahia ushindi wa mwakyembe, singependa kumpoteza mtu mwenye guts au ushujaa hata kama ni wa ccm, at least amewaonyesha wengine nini maana ya kuwa na backbone, si kama wengine ambao ni straw men!
 
Ushindi wake ni wa 90.55 % ni mfano wa kuigwa

Huyo ni wa CCM..........vyama kama Chadema vitaweza kuiga mfano huo huku NEC inachakachua matokeo?

Tofautisha CCM na upinzani ambao kura zao nyingi zimeibiwa.................................................
 
Mfano wa kuigwa on what they promised kwa Slaa kuwa Ubunge amwache Mwakyembe ila uraisi Slaa.
Ingawa kwenye uraisi naona kama nusu kwa nusu kuna uchakachuaji apo
 
Hawa wananchi wa Kyela sio mabwege, wanajua wanachokifanya.

Wakati Mwakyembe amepata 41,214(90.14%), Rais wake amepata 23,319 (50%) tu.
 
Sina wasiwasi na Mzalendo Dr. Makyembe. Wanakyela siyo kama 'waswahili' wanaorubuniwa na 'ubwabwa wa pilau'. Wameendelea kumuunga mkono Dr. Mwakyembe hata kama sisiem hawampendi. Sasa Dr. Mwakyembe akae mkao wa kula manake timu ya chademo ya kumsupport imeshehena vichwa barabara. Mwaka huu Dodoma hapalaliki.
 
Hawa wananchi wa Kyela sio mabwege, wanajua wanachokifanya.

Wakati Mwakyembe amepata 41,214(90.14%), Rais wake amepata 23,319 (50%) tu.

raisi wake angepata chini zaidi ya hapo (50%) kama sio intensive campaign ya mbunge kumtetea rais wake hadi baadhi ya wananchi walimshangaa kwa kitendo hicho. sasa mwakyembe alete maendeleo kyl kwani yule mkuu wa mkoa muuza kofia za polisi yu hoi kwa ushindi huu
 
Back
Top Bottom