rr3 JF-Expert Member Mar 19, 2015 3,045 3,821 Dec 20, 2019 #2 Kiswahili Cha Kenya hicho....mtoto anaitwa mtoi ..
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,648 75,732 Dec 20, 2019 #3 Wakenya wanaongea kiswahili kama tuongeavyo kiingereza. Makosa mengi saana ukifuatilia vyombo vyao vya habari. Ila mwisho wa siku lengo la lugha ni mawasiliano. Wakenya wanaelewana wenyewe kwa wenyewe.
Wakenya wanaongea kiswahili kama tuongeavyo kiingereza. Makosa mengi saana ukifuatilia vyombo vyao vya habari. Ila mwisho wa siku lengo la lugha ni mawasiliano. Wakenya wanaelewana wenyewe kwa wenyewe.
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Dec 20, 2019 #5 Aloooo si mchezo hawana huruma wabanduaji Sent using Jamii Forums mobile app
Sakasaka Mao JF-Expert Member Sep 29, 2016 10,144 12,193 Dec 20, 2019 #6 hiram said: Kama mnavyoona. View attachment 1298226 Click to expand... Akili zako ukizi update ili kugeuza geuza kila neno ama msamiati ili ulete maana uipendayo, inawezekana. Kwani kubanduliwa, kutumbuliwa na kung'olewa kuna tofauti gani? Ama kubanduliwa na kuliwa kuna tofauti gani kwa maana nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app
hiram said: Kama mnavyoona. View attachment 1298226 Click to expand... Akili zako ukizi update ili kugeuza geuza kila neno ama msamiati ili ulete maana uipendayo, inawezekana. Kwani kubanduliwa, kutumbuliwa na kung'olewa kuna tofauti gani? Ama kubanduliwa na kuliwa kuna tofauti gani kwa maana nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app