unalia nini sasa?.....Hapo imebidi nilie T maana sijaelewa kabisa kinachoendelea.
kwa bahati mbaya sana swali la bwana Rev liko nje kabisa ya imani yangu ..........bado una uhakika kuhusu imani yangu?
tanzania haina udini.....kwa bahati mbaya sana swali la bwana Rev liko nje kabisa ya imani yangu ..........bado una uhakika kuhusu imani yangu?
Halafu sasa ndio umenifungua macho...kumbe muda wote huu nasimangwa, tatizo ni hii avatar???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kazi ipo ...Tanzania bila udini kweli itawezekana?????
mi nitampa lipumba.......!Wewe utampa nani T?
....ndiyo!Hivi Lipumba anagombea tena mwaka huu???????????
Una uhakika imani yangu unaijua?
mh... mgeni huyu balaa... yaani kila kitu yuko mzoefu, quoting, manjonjo nk... WHERE IS MS WHEN YOU NEED HIM??? you must be his identical twin
Kuwa mgeni JF haina maana ya kuwa mgeni kwenye cyber world. Ngoja nikunong'oneze kaka/dada, hizi forums zinatengenezwa kwa kutumia "frameworks" kwa hiyo kama forums mbili zimetengenezwa kwa kutumia "framework" ya aina moja inakuwa rahisi sana kwa mtu ambaye ni mwanachama wa mojawapo kuwa na uwezo wa kutumia nyingine. Nadhani kwa kiasi fulani roho yako itatulia sasa usije unguza keyboard bure ( Nina maana jina lako la Acid)....just kidding.
Mh Rev jibu swali kwanza kabla hujajibiwa.