Kwanini Malaika wana mapanga ikiwa mbinguni ni mahali salama?

Hakuna aliyewahi kuwaona MALAIKA. Hizo ni imagination images ambazo zimeambatana na tamaduni za far east ( Uyahudini na Uarabuni) Ona hata mwarabu akifunga bdoa anakuwa amevalishwa jambia,wakati huo ambapo vita vilikuwa ni sehemu ya Maisha Yao na hata Mungu walimwita Mungu wa MAJESHI. Lakini hakuna sura ya malaika uliwahi kuonekana hizo ni Hadith za great thinkers tu za philosopher wa wakati huo
 
👏🏽👏🏽
 
Back
Top Bottom