kama mtu akichangia kwa thread yako.....ukiwa unamjibu huyo mtu....kuna sehemu pameandikwa REPLY WITH QUOTE,una click tu pale then unamjibu huyo mtu.....itasaidia sana kujua unamuuliza nani na kutokana na post yake ipi.....sasa unavyoandika hivyo wengine inakuwa ngumu kujua unamuuliza nani???ni hilo tu Gerald!!!