donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Salaam wakuu,
habari za weekend? i hope iko njema. ni hivi, hiku kitu kimeshawahi kunitokea mara kadhaa sasa sijui kama wewe mwana jf mwenzangu pia kimewahi kukutokea. unakuta kuna sometimes umekaa unapiga story na marafiki au unafanya kitu flani ghafla unapata hisia fulani kwamba jambo hilo ni kama linajirudia unakua unahisi kama ulishawahi kukaa hivyo hivyo na exactly kikafanyika kama hapo ulipokaa kwa wakati huo. hii inatokana na nini au ndio mambo ya paranormal na sub conscious? nisaidieni tafadhali!