Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Kwani tatizo liko wapi bibie?
Tobaaa!!mtake radhi
Kwani tatizo liko wapi bibie?
Tobaaa!!mtake radhi
Dadekiiii I miss Arusha ,home sweet home.
Ipo siku nyumbani nitarejea.
Utamu wa Dar ushakolea. Colony utamuachia nan?
Sorry brother ASAKunte, nimechanganya madesa, kuna binti flani kanichanganya hapa.
Acha kukurupuka duanzi wewe ,nani bibie?
Acha kukurupuka duanzi wewe ,nani bibie?
Hadi hapo hujagundua kitu....!? Nimechanganyikiwa hadi kila post nafikiri ni yako. Yaana hapa ugali haupandi kabisa kwa ajili yako.
Tafadhali futa post hizoHata duanzi ni jina baba. Thanks.
Hahaha siyo kweli bana........Utamu wa Dar ushakolea. Colony utamuachia nan?
Seriously hujui?Lol. Duanzi ni nini?
Tafadhali futa post hizo
Nimeshadelete hiyo kwani sikuiona km umeapologize.
Angalia usile ugali kwa picha ya samaki
Tehe..tehe..tehe, kwani nimekuwa ws kule milimani! Mi ni msukuma bwana.
Oohh wabheja sana
Chu, gashi nang'ho ulimumho....!?
Kichina hiko mi sijui bana
Seriously hujui?
Uboya?