Wana JF wenzangu nipo Arusha

Wana JF wenzangu nipo Arusha

Hahaha wacha woga ninawalinzi wawili hapa a.k.a dogz so you are safe

Uoga lazima mama, siunajua hakuna duka la viungo? Basi usiondoke naja bibie na hao dog watulize wanaweza ambulia chochote.
 
Wapi, you mean uko Impala hitel au umekaa round about kama mmasai....!? Anyway, shaka ondoa mkuu, nitapita mara moja.

nmekaa roundabout kama mmasai naangalia matangazo ya Tanapa
 
Una mialiko mingi...ndo ufanye maamuzi sasa...
 
Ndo tatizo la warembo wa siku hizi. Roho ikikudondokea ghafla unaanza kulalamika, tufanye nini jamani ili mridhike.....! Mi ndo nshajilipua hapo.

Hahaha usinikubali haraka
Sijui nani kaimba
 
kabla ujampa veve mpeleke pale corner kwenye kicarwash achome kwanza alaf aende beach kilima punda
chalii yangu huko mbali,aje hapa kona green village tumezindua juzi,tukitoka hapo tunashuka sejeseje chizika bar...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom