naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Jaman wana JF natafuta mwenyeji wangu kutoka kwenye kundi, nipo Arusha namwitaji rafiki yeyote ambaye yupo tayari kuuungana nami kwa kipindi hiki hapa jijini ambaye yupo tayari an PM basi
Ulivyoandika tu.......kuhungana.......nimepanda zangu noah naelekea Namanga saa hizi kula bata pale Sarafina........

jaman wana jf natafta mwenyej wangu kutoka kwenye kundi, nipo arusha namwitaj rafk yeyote ambaye yupo tayar kuhungana nam kwa kipindi hik hapa jijin ambaye yupo tayar an PM bac.

acha mbwembwe ww.... Unataka uwape mzigo watu ??
Njoo npo njiro ila kwa mda huu natoka zangu sanawari baadae napitia shivaz halafu baadae ndio naenda njiro.......
Umejipanga namna ya ulalaji?
jaman wana jf natafta mwenyej wangu kutoka kwenye kundi, nipo arusha namwitaj rafk yeyote ambaye yupo tayar kuhungana nam kwa kipindi hik hapa jijin ambaye yupo tayar an PM bac.
Em njoo hapa five stars
Wewe ni me/ke?
Mkuu shivaz unakwenda kufanya nini? Hakuna sehem ninayoiogopa kama shivaz.
Nakuja faster.
Mkuu Arusha kubwa, uko pande zipi? Nipo njiani nikitokea K"ndolu naelekea Njiro, kama uko city centre, sema pande zipi nikupitie mara moja.
basi pitia hapa keepleft ya mkijenge na njiro