wana jf wa moshi

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Baada ya safari ndefu na mahangaiko ya hapa na pale hatimaye nimetua mji wa moshi rasmi. . .wana jf wa moshi tutafutane tubadilishane mawazo mawili, matatu katika mji wetu wenye historia kubwa katika nchi hii.
 
Tunaisaka shilingi ilipo nenda uje X-mas tutakkuwa na muda mrefu wa kuelezana yaliyojiri 2012 Mungu akitujalia.usiache kuja na gari ya kukodisha yadi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom