KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,993
- 36,500
Habari zenu wana jukwaa wenzangu popote pale mlipo......yakiwa yamebaki masaa machache tuukaribishe mwaka mpya...wa 2016.....KILA MMOJA WETU ana shauku ya kuufika na kuuona huu mwaka mpya ulio mbele yetu....lakini bado anabakia kuwa ni MUNGU pekee ndio mwenye kuamua hilo kwa maaana hakuna ajuaye saa wala dakika ya kuondoka hapa duniani......
Hivyo basi ningependa kuchukua nafasi hii niliyoipata wakati nikiwa bado napumua na ni mzima wa afya kutangulia kuwatakia kheri na fanaka wa mwaka mpyaa......
Hivyo basi ningependa kuchukua nafasi hii niliyoipata wakati nikiwa bado napumua na ni mzima wa afya kutangulia kuwatakia kheri na fanaka wa mwaka mpyaa......