Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,767
Fikra za ccm na magufuli hiziHuyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
unateseka sana !Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
Hama NCHIMi uwa nashangaa sana nchi hii Mtu anayeshutumiwa sana ndio upandishwa cheo.
Ila wachapakazi ndio upotea na kutoweka na kufanyiwa Rafu.
Mtu kama Bashe anakosa wizara mtu kama Lugola na Waitara eti ni mawaziri.
Halafu unajiuliza kwanini tupo hapa tulipo?
Senseless!!Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Siwezi kuhama mpaka mama'ko niondoke naye nikampe mtoto mwenye akili sio kuzaa zezeta kama wewe"Hama NCHI
Kwaio wakati anafanya huo mkakati wake wewe unakua au ulikua uko wapi? Kwenye briefcase yake?Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Mkuu Zakaria, acha kumuonea wivu wa bure Waitara.Great thinkers,
Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.
Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.
Punguzeni maneno magumu jamaniSiwezi kuhama mpaka mama'ko niondoke naye nikampe mtoto mwenye akili sio kuzaa zezeta kama wewe"
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Unajua sababu ya yeye kupewa hiyo nafasi? unajua anachoongea yeye ni spika tu? mambo mengine achaneni nayo!Great thinkers,
Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.
Mtu aliyejipambanua kuyaweka maisha ya Lissu hatarini ni Naibu Waziri wa TAMISEMI Wizara iliyo chini ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri Mwita Waitara amesikika wazi kwenye mitandao akihamasisha mipango ya "kumtanguliza mtu." Ukweli ni kuwa Waziri huyu anahamasisha mauaji ya Watanzania wasiokubaliana na mtazamo wa Serikali na sote tunajua Mtanzania namba moja asiyekubaliana na sera za Serikali hii hasa zinazosimamia maendeleo na haki za binadamu ni Tundu Lissu. Sasa Waitara anatamka wazi "kumtanguliza" bila kuwajibika!!!
Wana JF tumtake, si kumwomba Mhe Rais wetu mpendwa amwondoe Waitara Serikalini vinginevyo Serikali yake itaonekana wazi kuwa inapanga na kutekeleza matukio ya utekaji na mauaji ya Wananchi.
Ukweli ni kuwa Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa letu aliwahi kutuasa kuwa "Ikulu ni mahali Patakatifu" hivyo hatutegemei pawe mahali pa kupanga "kuwachinja" Watanzania wenzetu kwa sababu yoyote ile.
Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Piga mswaki kwanza utoe harufu kinywani.Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A