Wana JF tumwambie Rais Magufuli kwa kauli moja, amfukuze kazi Waitara

Zakaria Lang'o

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,593
2,767
Great thinkers,

Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.

Mtu aliyejipambanua kuyaweka maisha ya Lissu hatarini ni Naibu Waziri wa TAMISEMI Wizara iliyo chini ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Mwita Waitara amesikika wazi kwenye mitandao akihamasisha mipango ya "kumtanguliza mtu." Ukweli ni kuwa Waziri huyu anahamasisha mauaji ya Watanzania wasiokubaliana na mtazamo wa Serikali na sote tunajua Mtanzania namba moja asiyekubaliana na sera za Serikali hii hasa zinazosimamia maendeleo na haki za binadamu ni Tundu Lissu. Sasa Waitara anatamka wazi "kumtanguliza" bila kuwajibika!!!

Wana JF tumtake, si kumwomba Mhe Rais wetu mpendwa amwondoe Waitara Serikalini vinginevyo Serikali yake itaonekana wazi kuwa inapanga na kutekeleza matukio ya utekaji na mauaji ya Wananchi.

Ukweli ni kuwa Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa letu aliwahi kutuasa kuwa "Ikulu ni mahali Patakatifu" hivyo hatutegemei pawe mahali pa kupanga "kuwachinja" Watanzania wenzetu kwa sababu yoyote ile.

Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
 
Mi uwa nashangaa sana nchi hii Mtu anayeshutumiwa sana ndio upandishwa cheo.

Ila wachapakazi ndio upotea na kutoweka na kufanyiwa Rafu.

Mtu kama Bashe anakosa wizara mtu kama Lugola na Waitara eti ni mawaziri.

Halafu unajiuliza kwanini tupo hapa tulipo?
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
Fikra za ccm na magufuli hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
unateseka sana !
 
Senseless!!
 
Kwaio wakati anafanya huo mkakati wake wewe unakua au ulikua uko wapi? Kwenye briefcase yake?
 
Great thinkers,
Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.

Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.
Mkuu Zakaria, acha kumuonea wivu wa bure Waitara.

Huu utakuwa wivu tuu, Waitara afukuzwe kwa kosa gani?.

Wewe ungekuwa mpiginia haki wa ukweli, ungeanza na aliyezungumzia "msaliti hawawezi kuachwa hivi hivi akisurvive tuu" ndipo kwa Waitara, vinginevyo ni wivu tuu wa maendeleo ya Waitara unakusumbua.
P
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......

Duuh, you are too emotional ndugu...

Kwamba hatibiwi?

Kwamba hakuvunjwa miguu, mikono na kiuno kwa risasi karibu 40 za bunduki za kivita (SMG? AK45?) huku 16 zikiingia mwilini mwake hapo Septemba, 2017??

Hebu fafanua ndugu. Kwa uelewa wako anafanya nini sasa huko?

Na Je (vyovyote ufikiriavyo afanyacho huko) unadhani kunatoa uhalali wa kuondoa (kumuua) uhai wake?

Hivi nyie wana CCM mnafanya siasa gani hizi zenye uhasama wa kijinga wa kiwango hiki?

You are so desperate!!..... Why lakini????
 
Great thinkers,

Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.

Mtu aliyejipambanua kuyaweka maisha ya Lissu hatarini ni Naibu Waziri wa TAMISEMI Wizara iliyo chini ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Mwita Waitara amesikika wazi kwenye mitandao akihamasisha mipango ya "kumtanguliza mtu." Ukweli ni kuwa Waziri huyu anahamasisha mauaji ya Watanzania wasiokubaliana na mtazamo wa Serikali na sote tunajua Mtanzania namba moja asiyekubaliana na sera za Serikali hii hasa zinazosimamia maendeleo na haki za binadamu ni Tundu Lissu. Sasa Waitara anatamka wazi "kumtanguliza" bila kuwajibika!!!

Wana JF tumtake, si kumwomba Mhe Rais wetu mpendwa amwondoe Waitara Serikalini vinginevyo Serikali yake itaonekana wazi kuwa inapanga na kutekeleza matukio ya utekaji na mauaji ya Wananchi.

Ukweli ni kuwa Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa letu aliwahi kutuasa kuwa "Ikulu ni mahali Patakatifu" hivyo hatutegemei pawe mahali pa kupanga "kuwachinja" Watanzania wenzetu kwa sababu yoyote ile.

Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.
Unajua sababu ya yeye kupewa hiyo nafasi? unajua anachoongea yeye ni spika tu? mambo mengine achaneni nayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamaaaeeeee Lissu lazima awe rais wa hii nchi mtake msitakeee!
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Piga mswaki kwanza utoe harufu kinywani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waitara ni mfano wa watanzania walio wengi ambao hawana fadhila. Amejawa na unafiki tu uliopitiliza na kujipendekeza kusiko na chembe ya aibu. Alitakiwa asiongelee chochote kuhusu chadema na viongozi wake hata kama kuna udhaifu.

Ameshasahau namna chadema ilivyomuinua na kumbeba huko nyuma baada ya kutupwa jalalani na hao ccm wenzake. Nadhani chadema nao wafikie wakati waachane na ule utaratibu wao wa kubeba makapi yaliyochujwa kwenye kura za maoni za ccm na kuwatunuku vyeo nafasi za kugombea ubunge, huku wapigania chama wakiachwa tu kama makarai.
 
Back
Top Bottom