Wana JF tumwambie Rais Magufuli kwa kauli moja, amfukuze kazi Waitara

Great thinkers,

Leo ninawaomba jambo muhimu linalohusu uhai wa mwana JF mwenzetu: Tundu Lisu ulio hatarini.

Mtu aliyejipambanua kuyaweka maisha ya Lissu hatarini ni Naibu Waziri wa TAMISEMI Wizara iliyo chini ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Mwita Waitara amesikika wazi kwenye mitandao akihamasisha mipango ya "kumtanguliza mtu." Ukweli ni kuwa Waziri huyu anahamasisha mauaji ya Watanzania wasiokubaliana na mtazamo wa Serikali na sote tunajua Mtanzania namba moja asiyekubaliana na sera za Serikali hii hasa zinazosimamia maendeleo na haki za binadamu ni Tundu Lissu. Sasa Waitara anatamka wazi "kumtanguliza" bila kuwajibika!!!

Wana JF tumtake, si kumwomba Mhe Rais wetu mpendwa amwondoe Waitara Serikalini vinginevyo Serikali yake itaonekana wazi kuwa inapanga na kutekeleza matukio ya utekaji na mauaji ya Wananchi.

Ukweli ni kuwa Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa letu aliwahi kutuasa kuwa "Ikulu ni mahali Patakatifu" hivyo hatutegemei pawe mahali pa kupanga "kuwachinja" Watanzania wenzetu kwa sababu yoyote ile.

Mhe Rais huwa anapita humu, wana JF tuko zaidi ya laki tano, hivyo anapaswa kutusikiliza, tukiungana wote kwa pamoja tutasikilizwa. Waitara Must Go.

Nina mashaka na Jiwe kukubali rai yako, kwani Waitara anaƴasema hayo kwa kuwa yanamfurahisha boss wake!

Kama msimamo wa Jiwe ungekuwa kinyume na tamko la Waitara, mteule huyu asingeweza kufungua mdomo na kutamka kuondoa uhai wa TL wazi wazi bila hofu!

Kwa kuwa tumemujua nia yake tuweke kumbukumbu, ili mda muafaka ukifika Waitara na kundi lake wapelekwe mbele ya sheria!
 
Mi uwa nashangaa sana nchi hii Mtu anayeshutumiwa sana ndio upandishwa cheo.

Ila wachapakazi ndio upotea na kutoweka na kufanyiwa Rafu.

Mtu kama Bashe anakosa wizara mtu kama Lugola na Waitara eti ni mawaziri.

Halafu unajiuliza kwanini tupo hapa tulipo?

Umewaza kama ninavowaza mimi unaona kabisa uwezo mkubwa wa Mh Bashe lakini wapi haonekani kwa wanaofanya uteuzi.
 
Mkuu Zakaria, acha kumuonea wivu wa bure Waitara.

Huu utakuwa wivu tuu, Waitara afukuzwe kwa kosa gani?.

Wewe ungekuwa mpiginia haki wa ukweli, ungeanza na aliyezungumzia "msaliti hawawezi kuachwa hivi hivi akisurvive tuu" ndipo kwa Waitara, vinginevyo ni wivu tuu wa maendeleo ya Waitara unakusumbua.
P
Mkuu Pascal, Mimi Sina haja na uteuzi wa Yeyote, hivyo sina sababu ya kumwonea Waitara wivu. Wa
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Ndugu hapa tunaongelea uhai wa mwana JF mwenzetu ambaye Waziri aliye katika Ofisi kuu ya nchi anapanga "kumtanguliza!!!? Hii Ni aibu kubwa Sana. Hata Libya, hao mnaowaita Mabeberu walipata nafasi kwa kuwa Ikulu ya Libya ilikuwa ikituhumiwa mara kwa mara kuwapoteza wakosoaji wake. Leo Gaddafi yuko wapi!!?
Tuweke itikadi pembeni, tutee uhai kwanza. Leo kwa Lisu kesho kwako, nani ajuaye!!!?
Waitara must Go!
 
Hahahahaaa! Mkuu umeandika kwa vituko vya hali ya juu.
 
Nina mashaka na Jiwe kukubali rai yako, kwani Waitara anaƴasema hayo kwa kuwa yanamfurahisha boss wake!

Kama msimamo wa Jiwe ungekuwa kinyume na tamko la Waitara, mteule huyu asingeweza kufungua mdomo na kutamka kuondoa uhai wa TL wazi wazi bila hofu!

Kwa kuwa tumemujua nia yake tuweke kumbukumbu, ili mda muafaka ukifika Waitara na kundi lake wapelekwe mbele ya sheria!
Hoja hapa mkuu ni sisi wana JF kwa pamoja na kwa umoja kupaza sauti zetu ili Mhe. Rais ajue kuwa Ikulu Ni Mahali Patakatifu, si mahali pa kuwaachia vichwa maji Waitara kupanga mauaji
Waitara must Go!!!
 
Alwwys watz huwa ni watuwa kufanya maamuzi ya kipumbav, kwa sasa tunamshangilia lissu, ila mjue mda wa kulia machozi hauko mbali sana, msifurahie sana anavohangaika kuiuza nchi kwa wazungu, hawa chadema sio watu wa kuwaamini even a single minute. Kama lowasaaliweza kuwanunua anzia mwenyekiti wao hadi mtendaji wa mtaa na sasa wanajuta, kama wabunge sijui kina nani ambao chadema inaclaim kuwa wamenunuliwa na ccm, hivi lissu ni nani ambaye anaweza kukatiza pesa za wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal, Mimi Sina haja na uteuzi wa Yeyote, hivyo sina sababu ya kumwonea Waitara wivu. Wa
Ndugu hapa tunaongelea uhai wa mwana JF mwenzetu ambaye Waziri aliye katika Ofisi kuu ya nchi anapanga "kumtanguliza!!!? Hii Ni aibu kubwa Sana. Hata Libya, hao mnaowaita Mabeberu walipata nafasi kwa kuwa Ikulu ya Libya ilikuwa ikituhumiwa mara kwa mara kuwapoteza wakosoaji wake. Leo Gaddafi yuko wapi!!?
Tuweke itikadi pembeni, tutee uhai kwanza. Leo kwa Lisu kesho kwako, nani ajuaye!!!?
Waitara must Go!
Kuna swali nimekuukuza hukujibu, nakuuliza tena, why Waitara tuu ndiye must go?. Jee ni Waitara pekee aliyesema hayo kuhusu Lissu? . Jee uliwahi kusikia mtu aliyeitwa msaliti ni nani? . Aliyeita mtu msaliti ni nani?.
Alisema wasaliti huwa wanafanywa nini?. Mbona husemi lolote kuhusu wengi wengine unang'ang'ana na Waitara tuu?.
P
 
Yaani Waitara afukuzwe kazi kisa ni maneno aliyosema dhidi ya Tundu Lissu!. Sio JPM tunayemfahamu vyema. Makonda angekuwa yupo mtaani siku nyingi tu.
 
Mi uwa nashangaa sana nchi hii Mtu anayeshutumiwa sana ndio upandishwa cheo.

Ila wachapakazi ndio upotea na kutoweka na kufanyiwa Rafu.

Mtu kama Bashe anakosa wizara mtu kama Lugola na Waitara eti ni mawaziri.

Halafu unajiuliza kwanini tupo hapa tulipo?
Ndio maana mimi nasema kama kuna siku nchi hii itakuja kupata maendeleo itakuwa ni kwa BAHATI MBAYA TU!
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Km lengo la Lisu ni kupanga mikakati ya kuwa Rais kwani kuna ubaya? Hakuna Rais aliyeingia madarakani pasipo kupanga mikakati ya namna ya kuingia Ikulu, cha msingi Lisu akimaliza kupanga mikakati aje Tz afuate democracy ya Nchi yetu
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
povuuù pumba tu.... unafikir lile basi ni dolla ngapi za kimarekani ukilinganisha na hayo madafu yenu
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
mkuu ni uchafu gani huo lisu anaandaliwa huko na wasioitakia mema nchi yetu?
 
H
Alwwys watz huwa ni watuwa kufanya maamuzi ya kipumbav, kwa sasa tunamshangilia lissu, ila mjue mda wa kulia machozi hauko mbali sana, msifurahie sana anavohangaika kuiuza nchi kwa wazungu, hawa chadema sio watu wa kuwaamini even a single minute. Kama lowasaaliweza kuwanunua anzia mwenyekiti wao hadi mtendaji wa mtaa na sasa wanajuta, kama wabunge sijui kina nani ambao chadema inaclaim kuwa wamenunuliwa na ccm, hivi lissu ni nani ambaye anaweza kukatiza pesa za wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu anza upya kukurupuka!! Huu usnge uliouacha hapa haueleweki!! Anza tena
 
Kuna swali nimekuukuza hukujibu, nakuuliza tena, why Waitara tuu ndiye must go?. Jee ni Waitara pekee aliyesema hayo kuhusu Lissu? . Jee uliwahi kusikia mtu aliyeitwa msaliti ni nani? . Aliyeita mtu msaliti ni nani?.
Alisema wasaliti huwa wanafanywa nini?. Mbona husemi lolote kuhusu wengi wengine unang'ang'ana na Waitara tuu?.
P

Jiwe must Go!
 
Mkuu Zakaria, acha kumuonea wivu wa bure Waitara.

Huu utakuwa wivu tuu, Waitara afukuzwe kwa kosa gani?.

Wewe ungekuwa mpiginia haki wa ukweli, ungeanza na aliyezungumzia "msaliti hawawezi kuachwa hivi hivi akisurvive tuu" ndipo kwa Waitara, vinginevyo ni wivu tuu wa maendeleo ya Waitara unakusumbua.
P
Mkuu Pascal ni kweli aliyasema maneno hayo. Lakini sasa Mungu Muumba Mbingu na Nchi amemuonyesha wazi kuwa Yu kinyume cha mipango ya kuondoa uhai wa wasio na hatia. Jinsi Mungu alivyodeal na Mfalme Daudi katika suala Uria Mhiti, ndivyo afanyavyo hata leo. Huwakemea kwa miujiza yake mikuu, ni Imani yangu kuwa amejifunza Jambo.
Sasa sote wana JF tunyanyue sauti zetu, na kumwambia Rais kwamba hatutaki Ikulu yetu itumike kwa mipango miovu dhidi ya mwananchi yeyote. Hivyo amwondoe Waitara. Waitara must Go!!!
Alwwys watz huwa ni watuwa kufanya maamuzi ya kipumbav, kwa sasa tunamshangilia lissu, ila mjue mda wa kulia machozi hauko mbali sana, msifurahie sana anavohangaika kuiuza nchi kwa wazungu, hawa chadema sio watu wa kuwaamini even a single minute. Kama lowasaaliweza kuwanunua anzia mwenyekiti wao hadi mtendaji wa mtaa na sasa wanajuta, kama wabunge sijui kina nani ambao chadema inaclaim kuwa wamenunuliwa na ccm, hivi lissu ni nani ambaye anaweza kukatiza pesa za wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemtetea unajua anachokifanya sasa huko ubeligiji?????Lissu kwa sasa yupo mkwenye mkakati mzito sana na watu wenye MASLAHI YAO NCHINI TANZANIA,leo hii tunaambiwa kachangiwa zawadi ya GARI NA WATANZANIA waishio belgium HIKI NI KITUKO CHA KARNE hao watanzania waliopo GIZANI HAPO BELGIUM tunawaslimia sana.....A
seme tu ukweli hilo gari kapewa na watu alio nao kwenye mkakati maalumu wa wao kumfadhili kwa hali na mali achukue URAIS wa nchi hii.....
KILA SIKU TUNASEMA HUMU LISSU hatibiwi hapo BELGIUM anatuadahaa tu sisi WATANZANIA kuna uchafu mkubwa sana HUYU JAMAA ANAANDALIWA KUULETA NCHINI TANZANIA kulinda MASLAHI YA HAO WAP.U.UZI wenzio
NA HATUTAKUBALI HUU UPUUZI WAKE.......
Akili zako zimefanana na hilo jinga lenu
 
Back
Top Bottom