Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,767
- Thread starter
- #41
Mkuu "Holy Star" tuachane na ya Lowasa na Chadema, tukemee Hili la Waziri Tena mwenye ofisi katika Ikulu yetu kupanga "kumtanguliza" Mtanzania na mwana JF mwenzetu!!Alwwys watz huwa ni watuwa kufanya maamuzi ya kipumbav, kwa sasa tunamshangilia lissu, ila mjue mda wa kulia machozi hauko mbali sana, msifurahie sana anavohangaika kuiuza nchi kwa wazungu, hawa chadema sio watu wa kuwaamini even a single minute. Kama lowasaaliweza kuwanunua anzia mwenyekiti wao hadi mtendaji wa mtaa na sasa wanajuta, kama wabunge sijui kina nani ambao chadema inaclaim kuwa wamenunuliwa na ccm, hivi lissu ni nani ambaye anaweza kukatiza pesa za wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tutafakari Iwapo kila serikali inayoingia madarakani itakuwa na mentality ya "kutanguliza" watu, nani atakuwa salama katika nchi hii!!?