erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 582
- 565
Unaota ndoto ya mchana. Ukiwa na fikra hizo utaishia kuja kuumia roho tu baadae. Mlisema Lowasa atakua Rais, matokea yake hakua Rais na zaidi ya yote kawakimbia,karudi CCM. Lissu ni mgonjwa hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa, huo ubunge wake ndio mwisho sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app