Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
yaani nipige hatua naenda nyumba ya ibada nikamwombee huyu jamaa awe raisi labda wa yanga au FM academia, nendeni tu kwa waganga wa kienyeji wawasaidie
ombeeni Tanzania yote iwe na Amani kwani Magufuli ndio chaguo sahihi ubaguzi wa ukabila na Udini ni vitu vilivyowaponza sana CDM mmewaambukiza hata UKAWA waliotoka CCM, km kina Sumaye, Kingunge, Masha, Mgeja MUSSA ALLAN