Eeeeeh Mwenyezi Mungu naomba umlinde Rais wetu kipenzi , umjaalie nguvu ya kumaliza kampeni mapema.
Wale wote wanaomuombea mabaya uwapige kwa mapigo yako saba, uwaangamize wao na vizazi vyao bila huruma.
Naomba ulinde amani yetu uwaajalie watanzania ujasiri wa kumpigia Lowassa kura kwa wingi hata wale waliokuwa na Mawazo ya kumpigia Mzee wa Kuwait uwape pumbazo wakifika kwenye chumba cha kupigia kura na wao pia wapigie Lowassa.
Uwaajalie Busara na hekima polisi wetu, wanajeshi wetu, vyombo vyetu vya dola na tume ya uchaguzi vitende haki kwa mujibu wa sheria na utaratibu.
Tunakuomba Lowassa ndiyo awe Rais wetu wa awamu ya tano na amani itawale.
Ameen.