Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,659 Oct 18, 2015 #41 Mi kila siku asubuhi hufanya maombi yangu.familiya na kamanda lowasa..Mungu azidi kumlinda
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Oct 18, 2015 #43 Mmawia said: Tumuombee lowasa Click to expand... Kila la kheri
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #44 KOKUTONA said: Kila la kheri Click to expand... Kasinge
dingi01 Member Joined Oct 5, 2015 Posts 89 Reaction score 21 Oct 18, 2015 #45 Ndy naingia misa za kwanza hapa hii ndiyo ombi langu kubwa na aweze kuwa rais wa wote.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #46 Victor wa happy said: Mi kila siku asubuhi hufanya maombi yangu.familiya na kamanda lowasa..Mungu azidi kumlinda Click to expand... Ameeeennn na mungu akuzidishie nguvu za kumuombea mh lowasa
Victor wa happy said: Mi kila siku asubuhi hufanya maombi yangu.familiya na kamanda lowasa..Mungu azidi kumlinda Click to expand... Ameeeennn na mungu akuzidishie nguvu za kumuombea mh lowasa
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #47 kiongera said: Amiin atashinda Click to expand... Asante mkuu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #48 dingi01 said: Ndy naingia misa za kwanza hapa hii ndiyo ombi langu kubwa na aweze kuwa rais wa wote. Click to expand... Mungu ni mkubwa na tupo na lowasa
dingi01 said: Ndy naingia misa za kwanza hapa hii ndiyo ombi langu kubwa na aweze kuwa rais wa wote. Click to expand... Mungu ni mkubwa na tupo na lowasa
iconic Member Joined Oct 16, 2015 Posts 24 Reaction score 3 Oct 18, 2015 #49 Ameen..Mungu amlinde dhidi ya hila chafu za ccm
Bandiwe JF-Expert Member Joined Oct 19, 2013 Posts 9,530 Reaction score 3,556 Oct 18, 2015 #50 Mmawia said: Matusi hayaruhusiwi leo siku ya jumapili maana ni dua tu za kunuombea lowasa kushinda urais kwa kishindo kikuu Click to expand... Kumuombea Lowassa ni matusi makuu, hata Lema alitushauri tumzomee tutapata thawabu kwa Mungu
Mmawia said: Matusi hayaruhusiwi leo siku ya jumapili maana ni dua tu za kunuombea lowasa kushinda urais kwa kishindo kikuu Click to expand... Kumuombea Lowassa ni matusi makuu, hata Lema alitushauri tumzomee tutapata thawabu kwa Mungu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #51 iconic said: Ameen..Mungu amlinde dhidi ya hila chafu za ccm Click to expand... Ameeeennn
Kun Jr JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 700 Reaction score 363 Oct 18, 2015 #52 nitamuombuea amina
Bandiwe JF-Expert Member Joined Oct 19, 2013 Posts 9,530 Reaction score 3,556 Oct 18, 2015 #53 Mmawia said: Safari hii mhamie loliondo Click to expand... Yule wa Loliondo alipewa dawa na Yesu !
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Oct 18, 2015 #54 Bwana mungu wetu yuko pamoja nae
R REYRO JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 968 Reaction score 244 Oct 18, 2015 #55 Bandiwe said: Kumuombea Lowassa ni matusi makuu, hata Lema alitushauri tumzomee tutapata thawabu kwa Mungu Click to expand... Hakuna rafiki ama adui wakudum katika siasa rafiki!!!!!ni sawa na kushangaa warioba kala kichapo nabado anapandq jukwaan kunad ccm!!!!!, Tutamwombe lowassa maadam iitwapo leo!!!!!Amina
Bandiwe said: Kumuombea Lowassa ni matusi makuu, hata Lema alitushauri tumzomee tutapata thawabu kwa Mungu Click to expand... Hakuna rafiki ama adui wakudum katika siasa rafiki!!!!!ni sawa na kushangaa warioba kala kichapo nabado anapandq jukwaan kunad ccm!!!!!, Tutamwombe lowassa maadam iitwapo leo!!!!!Amina
O olekeiy Member Joined Aug 2, 2015 Posts 89 Reaction score 18 Oct 18, 2015 #56 Simiyu Yetu said: Yani fisadi tumuombee awe kiongozi thubutu! Click to expand... Nani kauza nyumba za serikali kwa nduguze? Kuwa makini the hunter anaweza kuwa the hunted hivi karibuni tu!
Simiyu Yetu said: Yani fisadi tumuombee awe kiongozi thubutu! Click to expand... Nani kauza nyumba za serikali kwa nduguze? Kuwa makini the hunter anaweza kuwa the hunted hivi karibuni tu!
R REYRO JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 968 Reaction score 244 Oct 18, 2015 #57 FaizaFoxy said: Lowassa hafai kuwa Rais hata wa mtaa wacha nchi. Jikumbushe Chato. Click to expand... Kweli inasikitisha kwa yaliyo tokea chato inasikitisha haswaa maana vijiji 22 ccm ilipata viwili tu!!!! Nani huzun kuu kwa jimbo hilo la chato kwenda kwa DR Likanima wa chadema asubuh kabla ya missa ya pil
FaizaFoxy said: Lowassa hafai kuwa Rais hata wa mtaa wacha nchi. Jikumbushe Chato. Click to expand... Kweli inasikitisha kwa yaliyo tokea chato inasikitisha haswaa maana vijiji 22 ccm ilipata viwili tu!!!! Nani huzun kuu kwa jimbo hilo la chato kwenda kwa DR Likanima wa chadema asubuh kabla ya missa ya pil
R REYRO JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 968 Reaction score 244 Oct 18, 2015 #58 Rajeev said: Maneno Yako Yana Mpangilio Ila Hayana Uhalisia. Kama Unaushahidi Wa Huo Ufisadi Nenda Mahakama Kuu Mtuhumiwa Atakukuta Huko. Click to expand... Ha ha ha
Rajeev said: Maneno Yako Yana Mpangilio Ila Hayana Uhalisia. Kama Unaushahidi Wa Huo Ufisadi Nenda Mahakama Kuu Mtuhumiwa Atakukuta Huko. Click to expand... Ha ha ha
K koryo JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 639 Reaction score 278 Oct 18, 2015 #59 Kwa kweli tumuombee. Serikali ya CCM imetufikisha pabaya.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Oct 18, 2015 Thread starter #60 Kun Jr said: nitamuombuea amina Click to expand... Tupo pamoja mkuu