Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?Kama ukabila basi chadema chama cha wasukuma maana wamepata wabunge wengi kule na hata myika ni Msukuma
kama ni Ujimbo Chadema haiwezi kuachana na hiyo sera kwani ndiyo ambayo tunaamini itamkomboa mtanzania
kama ni Udini sijawahi sikia wala kuona Chadema wakifanya mkutano msikitini au kanisani. Ni bahati mbaya tuu CUF imetawala Zbar na Pwani na kuifanya chadema ishindwe ku penetrate maeneo hayo lakini mkakati kabambe wa kuingia maeneo ya Pwani unaandaliwa
Acha umbea wewe mtoto
Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
Naanza mikakati ya kugombea udiwani 2015 kata ya Nduli Jimbo la isimani kwa kupitia CHADEMA
Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.