Wana JF,Tujulishane Viwanda vilivyo uliwa na Serikali ya CCM Tangu uhuru

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Nchi yoyote isiyo endeleza secta ya viwanda,hakika itakuwa Masikini na Ombaomba wa Kutupwa.
Tujulishane Viwanda vilivyo uliwa na Serikali ya CCM tangu uhuru.
Nawasilisha...
 
Nchi yoyote isiyo endeleza secta ya viwanda,hakika itakuwa Masikini na Ombaomba wa Kutupwa.
Tujulishane Viwanda vilivyo uliwa na Serikali ya CCM tangu uhuru.
Nawasilisha...

Mkuu ilivikuta vingapi na kuviua?

Labda ungesema tujulishane viwanda vilivyoanzishwa na kisha kuuliwa na Serikali ya CCM tangu Uhuru.
 
Viwanda vilivyouliwa na serikali ya sisiem ni vingi visivyo na idadi hata:

1) Kiwanda cha ngozi kilichokuwa Moshi na ilikuwa na wafanyakazi zaidi ya 400.
2)Clitex iliyokuwa A town na ilikuwa na wafanyakazi zaidi ya 2500 leo imebaki magofu.
3),,,,,
4),,,,,,,,,
5),,,,,,,,
6),,,,,,,,
7),,,,,,,,,
8),,.,,,,
9),,,,,,,
10),,,,,,,,
 
BORA INDUSTRY wahindi wameuza mashine zote kama sklepa.viatu,kandambili,tyubu na gurudumu za baiskeli havizalishwi tena.
 
1) Tanzania railway authority(shirika la reli)
2)Air Tanzania (shirika la ndege)

Hakuna nchi duniani inayopigania maendeleo, afu viongozi wanaua miundo mbinu.
Ndo maana nasema kila siku... Tanzania haisongi mbele inarudi nyuma kimaendeleo.

3) Tanesco- hili liko njiani kufa.

Lakini 2015 tutawachagua tena. Let's wait.
 
zzk-mby
swala
nyumbu
mbeya textile

Kifo cha ZZK kinasikitisha sana. Kuna wakati nilikuwa Mbeya nikasikia wanataka kuwauzia Serengeti yale magofu ya ZZK wajenge kiwanda cha bia. Akili ya CCM kwa sasa inawaza bia tu na kodi itokanayo na bia hawawazi zaidi ya urefu wa pua yao.....angrry sasa wanywaji watapata wapi hela?
 
Tuzisisahau zile kampuni za Usafiri ulianza na
Railway walikuwa hadi na Mabasi ya kwenda mikoani
Rukwa Retco,Mbeya Retco,Iringa Recto na Retco zote zilizo baki.Hili shirika lilikuwa limetoa ajira ma elfu kwa maelfu,kweli CCM imekufa na Nyerere...
Inauma sana ila kitaeleweka kwani hata Mbuyu ulianza kuota kama Mchicha...
 
Tusisahau pia viwanja vya mpira tulivyojenga kwa nguvu ya umma wakavitaifisha wakidai ni mali ya ccm, anzia kirumba
 
Nachojua Mwatex kiwanda cha nguo cha Mwanza kilikuwa kinaajiri wafanyakazi zaidi ya 3,000 that was 1980s
 
Back
Top Bottom