wana JF Tanga nipokeeni

Kwa hilo usijali..kumbuka Tanga hamna neno "NO" na pia hatuna msemo "KWAHERI"
mnh hapo kwenye NO naskia ni wakarimu hadi kule chini ati............mnnnnnnnnnhhh hilo la kwaheri nitagoma sitaki kutekwa huko.
 
hahahhahaaaa...!!. mkuu hayo ndo utakumbana nayo huko nyakati za jioni. so kuwa makini. mia
daaaah kaka mesimuliwa yote hayo mkuu................we ngoja tu dawa yao kumwagia uji wa moto kwenye vinyeo vyao wataacha tu.
 
Back
Top Bottom