Wana jf ningeomba kujua hili kuhusa ICT

Wana jf ningeomba kujua hili kuhusa ICT

"Wewe soma..... Ila iua mambo hupangwa na Mungu"
 
ICT ni pana sana tena sana tu, Labda unataka kusomea 'kipengele' gani?
Webdevelopment
Mambo ya cyber security
Programming
Computer science
Artificial intelligence
To mention a few. Vile vile unataka kusoma kwa ngazi gan is it diploma or degree or masters or what?

NB: mi sio mtaalam sana wa haya mambo, nmeeleza kwa ufahamu wangu tu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Web development iko ndani ya programming, ila mimi kwa ushauri na uzoefu katika fani hii pamoja na software engineering simshauri aje huku mana mpaka sasa haelewi anataka nini na hii siyo fani yake hivyo atapata tabu sana na mwisho atakuja hisi alipotea njia.
Nb: Maneno yangu siyo sheria naweza pia kuwa niko wrong kuhusu yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom