Sio kweli kwamba ukiformat hdd unafuta kila kitu na hdd ina kuwa mpya kama ulivyoitoa kiwandani, ukiformat unafunika tu hayo mafaili, na ukipata program nzuri unauwezo wa kuyafunua na yakasomeka.
Kufuta completely kunaitwa "ERASE" hii huwezi pata kitu chochote, hdd inakuwa mpya!!
KWA ULIYEFORMAT HDD UKIFANIKIWA KUPATA PROGRAM YA KURECOVER FILES ZAKO FANYIA HDD YA PARTION ILI NEXT TIME YASIKUKUTE TENA, e.i files zako zote weka drive D
Tatizo linakuja ni kwamba ali
format alafu amefanya
installation na bado anaendela kufanya mambo mengine na kusave file mpya.
Sasa may be
file XYZ la hapo zamani analotaka kufufua likuwa katika
HDD memory space 123.. OK uki format tu unakuwa umefuta link ya OS kwenda kwenye location ilipo ile file ambayo ni 123. Si kazi sana kupata mafile kama HDD imekuwa formated tu.
Lakini sasa ameformat na amefanya intallation. Vipi kama sasa hivi ile memory Adress ya 123 imeshachulikwa na program ya microsot office au application nyingine aliyofanya baada ya kuformat.
Tatizo ni kwamba ukiformat data zinakuwepo lakini unakuwa inaimabia OS inaweza kuandika data sehemu yeyote ile. So kuna data mabazo hawezi kupata sababu nafasi yake imeshachuliwa na mambo mengi . kama kuzipata itacost sana muda na kupata softwareya nguvu sana.
- It is hard but possible kupata data baada ya kuformat tu
- It is harder but possible too kupata baadhi ya data baada ya kuformat na kufanya installation ya OS na application nyingine.
So kama bado ana wazo la kufufuaa data zake may be astop kabisa kutumia hiyo latop ili zile storage space ambzo bado hazijachukuliwa na mambo mapya labda zinaweza kupatikana.
Soma pia maelezo kama haya
http://www.easeus.com/datarecoverywizard/recover-formatted-partition.htm
unaweza kuipata a kujaribu hiyo sofware hapa
http://thepiratebay.org/torrent/5092440/EASEUS_Data_Recovery_Wizard_Professional_4.3.6_%28Retail%29_%5BRH%5D
When to use EASEUS?
â€" Boot-up problems.
â€" Accidental file deletion.
â€" File loss without reason. â€" Hard Drives that have been formatted.
â€" Damage due to a power failure or surge.
......
Tatizo watu tunaamian article tunazosoma online. Sio rahisi kihivyow watu wanvyodahani . na wengi hawajajaribu wanaamin tu kile wanachosoma.
Another advice weka copy ya data zako muhimu
online pia kama backup. It is safe kwa secure backup . Tembelea google docs
docs.
google.com/
Tupe
feedback itakuwa vizuri tuweke kwenye record zetu if it worked
NB
ukipenda nikufanyie kazi hiyo nitakucharge kwa saa. Nadhani itachukua about 5-6 hours .though sigurantee kufanikiwa . Unalipia
effort sio output. teh teh teh teh. na one hour ni 5,000 tu kwa mtanzania mwenzangu. teh teh teh teh