Wana jf ndani ya tamasha la ziff

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,286
Reaction score
48,603
Habari zenu wana JF?
Kesho ijumaa msanii kutoka Jamaica anayeishi nchini Marekani atakuwa akitumbuiza katika visiwani Zanzibar katika Ukumbi wa Ngome Kongwe, kwa Member yoyote ambaye atakuwepo pale tunaweza kuwasiliana ili tuzidi kufahamiana vizuri, au kwa wana JF mlioko visiwani Zanzibar tuwasiliane, tuma PM nitakupa namba yangu ya simu.
 
weka namba yako hapa..wadada kibao watakutafuta
mi nshwhi kufanya hivi JF ni noumer
 
ivi ni kweli kwamba kiingilio kinatofautiana kwa wazenji na wengineo?
asante kwa mwaliko nasi twakukaribisha bwagamoyo
 
Kiingilio ni 15,000 tu tofauti na sehemu nyingine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…