Wana JF naomba msaasa wenu !

Status
Not open for further replies.

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Kwa niaba ya wale wenye tatizo kama la kwangu naomba mnisadie yafuatayo.
(1)Sijui namna ya kupost picha ndani ya JF
(2)Sijui namna ya kuweka picha katika jina ninalolitumia,kwani naona wenzagu wameweka hata vinyago,inavutia sana.

Ni vema nijulishwe,mficha uchi hazai !
 
Patience plz naona invisible ameweka thread ya tuition. Fuatilia na utaelewa.
Mengine tumia akili ya ziada ya kikomputa utafanikiwa.
Kwenye tuta rudi na kuuliza maana kuuliza c ujinga

Fuatilia:
JamiiForums - How To
 
Patience plz naona invisible ameweka thread ya tuition. Fuatilia na utaelewa.
Mengine tumia akili ya ziada ya kikomputa utafanikiwa.
Kwenye tuta rudi na kuuliza maana kuuliza c ujinga

Rutunga M
Member
Join Date: Mon Mar 2009
Posts: 18
Thanks: 0
Thanked 16 Times in 5 Posts



u R NOT A GOOD TEACHER MF!

Hayo majibu yako si mazuri kabisa, bora hata usingejibu.

We si unaona jamaa ndo wa kujakuja kwenye jamvi, bado unampa vibomu!

Sa kama huyo Invisible ameweka tuition, si umpe link?

Watu wengine bana!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…