Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,992
- 23,504
Ila lile jina lako la asili manengelo lilikutoa kweli, japo sikuingilii ila sikupenda mabadiliko yako.Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Sent using Jamii Forums mobile app