Wana jf msaada computer yangu

Wana jf msaada computer yangu

mkwezi kidonda

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
163
Reaction score
32
Wakuu nina tatizo la computer yangu desc top ya lenovo. Imeunganishwa na computer nyingine mbili kwa internet comunication .Ila zote zina tatizo la kuzima mara kwa mara na kuandika power serving mode na inaresati yenyewe . Tatizo laweza kuwa nini wana jf?
 
Power surge. Kuna IC zimekufa. Nipm ntakupa namba ya mchawi wa hii makitu.
 
Mkuu Hasanalis. Ni kwamba komputer huwa inazima ghafla na kuandika power serving mode . Kisha kurestat yenyewe .wakati inazima huwa natumia internet na inaporesume huwa nikiklick mozila huwa zile window za internet zinarudi zenyewe kama window ilivyokuwa mwanzo.
 
msaada na mimi laptop lenovo , mara inawaka na nikizima inaweza goma kuwaka halafu ikakubali. anayemjua fundi mzuri
 
Kuna jamaa yupo vizuri sana ni mwajiriwa wa serikali wa mambo haya haya ya IT kwa miaka kumi na anapatikana kuanzia saa kumi jioni na weekends tuu na anawezakuja kwako kukutatulia matatizo yako namuamini sana mtafute kwa 0766 50 70 80.
 
Back
Top Bottom