wana Jf mnayo taarifa hii?

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja. mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la pamoja na kuwazika wote, polisi walivyofika wakamkuta yule mkulima
wakamuuliza waliopata ajali wako wapi akajibu nimewazika wote,polisi akamuuliza unauhakika wote wamekufa? mkulima akajibu, aahhh!! kuna baadhi walikuwa wakilalamika lakini siunajua wanasiasa walivyokuwa waongo nilijua wananidanganya mimi nikazika wote
!
 
Hahahahahaaaaaa ngoja tumchagulie wanasiasa tunaotaka wazikwe then hata km hawatapata ajali tuwazike hivyohivyo
 
Japo ni marudio,

Any way kwa kuwasijaisoma siku nyingi nimerudia kuichekea............
 
Hawa jamaa walivyo waongo hata familia zao huwapa ahadi za uongo. Yaani wao wamesomea uongo.
 
Duuh jamaa wapunguze siasa maana kwa mtindo huu watazikwa wazima kweli.. So funy...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom