Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,695
- 26,593
Mie mwenyewe mzigo namba 5,ngoja nianze kufungasha virago...
mizigo ....?
Duh km ww mzigo usiondoke mweee...!
mizigo ....?
Mwenzangu huu wangu hata haufai kuliwa....
Mweeh...mi sitaki kuwajibishwa,bora nisepe mapemaaaaa
Ee mizigo....
Comment zako hazikosagi hii alama (?)
Acha fiksi za kuvunga kusepa , kumbe unazamia kule kunako jukwaa la chini kabisa !
basi linamaana nyingi hili neno .....
Provide atlist two reasons kivipi haufai kufuturiwa?