Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Heshima kwenu wakuu! wazo ni kwamba tukiwa kama wana jf tumekuwa tukipeana habari mbalimbali na kuelimishana mambo mbalimbali sasa mnaonaje tutengewe na uongozi wa jf angalau siku moja kwa mwaka ya kuonana na kufahamiana live by means kwa walio dsm,mbeya,mwanza,kenya. nk hii mnaionaje wakuu?
Wazo lake siyo baya. Tunaweza vaa vinyago usoni ama kitu chochote cha kuziba hata macho, kwa asiyetaka kujulikana.
Mmmmh Binti waogopa !!? au wastahii? My God kumbe hutaki kujulikana....!Hata mie sikubaliani nalo bwana wengine hapa ukituona unaweza baki unachekaa mwaka mzimaa
Wa diaspora nasi wapi tukutaneee?Jamani wengine hatuishi TZ.....
Ni PM tupangeWa diaspora nasi wapi tukutaneee?