Wana jf mimi nna wazo

Wana jf mimi nna wazo

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Heshima kwenu wakuu! wazo ni kwamba tukiwa kama wana jf tumekuwa tukipeana habari mbalimbali na kuelimishana mambo mbalimbali sasa mnaonaje tutengewe na uongozi wa jf angalau siku moja kwa mwaka ya kuonana na kufahamiana live by means kwa walio dsm,mbeya,mwanza,kenya. nk hii mnaionaje wakuu?
 
Tukishaonana na kufahamiana then?

Kuna PM ambayo kama ukivutiwa na uchangiaji wa mtu au kwa namna yeyote mnaweza kufahamiana.

Sidhani kama ni sawa/Siafikiani na hili kwa sababu;

1. Si JF members wote ni Watanzania au wanapatikana Tanzania.

2. Imekuwepo heshima kubwa baina ya watu kwa uanachama wao bilankufahamiana(yaani jutanbua umri, kazi, yeye ni nani) na inaweza kupotea mara baada ya kufahamiana/Kukutana.

3. Siku moja kwa mwaka(endapo itaafikiwa) kuna uwezekano wa watu kukosekana ..yaani kuwepo kwa siku moja yenye kuweza kuwakutanisha wote.

4. Usalama wa watu utakuwa mashakani, baadhi ya watu huleta habari za ndani za sehemu mbalimbali, kukutana kunaweza kuwa na mwanya wa wao kuwa hatarini zaidi.
 
Heshima kwenu wakuu! wazo ni kwamba tukiwa kama wana jf tumekuwa tukipeana habari mbalimbali na kuelimishana mambo mbalimbali sasa mnaonaje tutengewe na uongozi wa jf angalau siku moja kwa mwaka ya kuonana na kufahamiana live by means kwa walio dsm,mbeya,mwanza,kenya. nk hii mnaionaje wakuu?

Acha mambo yako......unataka JF bash? kujuana kimtandao inatosha..........muda na mali , okoa vyote!
 
Tukishaonana na kufahamiana then?

Kuna PM ambayo kama ukivutiwa na uchangiaji wa mtu au kwa namna yeyote mnaweza kufahamiana.

Sidhani kama ni sawa/Siafikiani na hili kwa sababu;

1. Si JF members wote ni Watanzania au wanapatikana Tanzania.

2. Imekuwepo heshima kubwa baina ya watu kwa uanachama wao bilankufahamiana(yaani jutanbua umri, kazi, yeye ni nani) na inaweza kupotea mara baada ya kufahamiana/Kukutana.

3. Siku moja kwa mwaka(endapo itaafikiwa) kuna uwezekano wa watu kukosekana ..yaani kuwepo kwa siku moja yenye kuweza kuwakutanisha wote.

4. Usalama wa watu utakuwa mashakani, baadhi ya watu huleta habari za ndani za sehemu mbalimbali, kukutana kunaweza kuwa na mwanya wa wao kuwa hatarini zaidi. Unachosema ni kweli kabisa! no need of that!
 
Wewe umetumwa sio bure unataka itokee vita ya wana jf halafu jamvi letu lichanike? Maana hiyo siku kama kuna kigogo aliyefichuliwa ufisadi ni lazima aje na mguu wa kuku
 
umeshaanza ubaguzi wa kimajimbo!!? Me naishi kwenye jangwa la KALAHARI je nitaruhusiwa kuja huko mjini tuonane?
 
Wazo lake siyo baya. Tunaweza vaa vinyago usoni ama kitu chochote cha kuziba hata macho, kwa asiyetaka kujulikana.
 
It will cost me a lot to get there please am so far away.
 
Back
Top Bottom