Wana jf mbona hamnijali jamani..

pole sana ndugu,kuna jamaa angu mmoja ni dreva,baada ya kuona mambo hayaeleweki,alianza kujifunza ufundi ujenzi kwa kuanza na usaidizi,hivi sasa ni fundi mzuri tu,usitegemee sehemu moja,watu huwa tunachange kulingana na mazingira
 
Sawa Mkuu najitahidi pia kujifunza na kupambana na Fursa mbali mbaliii.....
 
Mkuu sikuhizi waajiri wanaangalia uwezo mbali mbali. Mbali na udereva pia personal Secretary, Office Admin pia nazimudu....
Ni kweli sikuizi waajiri wana angalia Multipurpose talented individuals. Utapata tuu.
 
Pole mkuu. Nilikuwa na kampuni yangu ya kutoa huduma ya usafirishaji abiria na mizigo bahati mbaya madereva wakaua magari yoote wakaishia kunifilisi. Sasa sina hata gari moja ya biashara. Tanganzo lako nimeliona ila personally sina namna ya kukusaidia kwa sasa.
 
Pole sana asante pia kwa kunijali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…