Wana JF leo yamenikuta

Umu ndani tunaweza kua tuna member majini aseee maana mtu anakurupuka tu mpaka unajiuliza katumia nini kufikiri.
Katumia masaburi kufikiri. majini hayo yameshindwa kwa jina la Bwana Yesu.
 
Viazi vilivyojiunga JF kindezindezi vinasepa vyenyewe!
Kiza kizito gani JF isichoweza tatua!
Kasage chupa ubwie!
R.I.P bushland
 
Mods ndo kusema hamuoni watu wanaleta ujinga humu wanawatisha watu kwa mambo ya kipuuzi..we kama unagawa namba unakutana na ma stranger usije unakimbia huku yamalize mwenyewe
 
Hivi tatty nae ameenda wap mkuu?
 
Umeamua kuhamia sayari gani mkuu?
Maana Nibiru imekaribia kufika,!
Kama vipi niandalie kiwanja huko!
 
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Unamaanisha umeuza smart phone hivyo hutaweza kuingia Jf mpaka mwakani?
 
Pole sana mkuu bushland japo hujataka kuwa muwazi nini kimekuthibu
 
mbona nimemuona katika moja ya viunga vya JF kitu kama dakika 20 zilizopita,? au umerudi kimya kimya nini,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…