KIFARU
Senior Member
- Apr 6, 2009
- 172
- 14
- Thread starter
- #61
To be honest! Sikushauri kabisaa naelewa maana hayo ni maisha kiufupi kwa sasa mapenzi yenu ni ya tamaa tu hayo ni matatizo unataka kuyaingia jiulize swali rahisi tu kwa nini hakuolewa na aliye mzaalia! mmmh sio swala la kulipa uzito mwepesi vuta subira tafuta mwingine achana na hayo matatizo! hebu fikiri ukizaa na mwanamke alafu akaishi na mwanamme mwingine Mhhhhhhhhhh achaaaaa achaaaaaaaaaa
Ni mjane??????? au unafuata unafuu wewe???
Mkuu KT, Rejea post yangu ya nyuma ,aliolewa akaachika, mimi binafsi mzazi nileyezaa naye,mahusiano yamekufa kabisa.