Wana jf hapo kwenye hii picha mnasemaje?

Ndio rais wetu-
mbagala
dowans
gongo la mboto
katiba mpya
ufisadi
matokeo kidato cha nne
bodi ya mikpo
afya hafifu na vinchanga kufa hovyohovyo na kuzikwa pamoja
maji mgawo kwenda mbele nchi nzima
mfumuko bei kila kitu juu
starehe za mashangingi ya wakubwa na uporaji mali
wanamtandao kutwangana
watanzania kulala kwenye mbavu za mbwa
wizi wa pesa za wafanyakazi mifuko ya jamii ppf/nssf/gpf/pspf ni nomaaaaaa ndio kitega uchumi chao
wakulima hoi
wafanyakazi hoi
wafanyabiashara hoi
tabu juu ya shida na hakuna wa kumsaidia siku zote wanamdanganya na yeye hajishugulishi kujua ukweli ....ataacha kulala bora alale kunguza kero ya shutuma zote hapo juu -sidhani kama ana workplan nzuri kumaliza yote hayo na miradi ya serikali aliyofanya kama ahadi. Kazi kwelikweli
 
Kuna mambo mawili hapa...

Kwanza mikesha ya vikao vya wizi imeziti!!!

Pili ugonjwa unazidi kushika kasi..

Hivi kweli haya yote ya mwaka huu jamaa anasemaje??? Nadhani ajiuzulu tuu...
 
Ndio yaleyale kama ya Komba, wana vimajibu vyao,utawasikia 'nilikuwa naiombea dua tz'...kapish, kumbe mnazi kashinda kwenye tunguli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom