Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,199
Kuna jamaa aliambiwa hepibathdei akajibu sem tu yu.
Duh kumbe kuna mastaa jf?haya hepbathdei,umefurah ee
Ila kweli! Happy birthday mkuu! Wengne hata hatujui wap kuangalia birthday ya mtu.
Happy Birthday, How many years are you?
Waitu waiyuka Nekilo kyawe ekyo kuzalwa.
Happy b'day to you mkuu. Nawe hacha kulaumu. Kajifunze kwanza Kiswahili mkuu
uwe unaanzisha thread ya kuzaliwa kwako
Haaahaaaaa! Haya mambo ya kuiga haya! Halafu wabongo mnaiga nusu! Unakuta mtu anataka best wishes na zawadi lkn hataki kuweka wazi umri wake! Wenye desturi hiyo hawafichi umri. Mimi simpi mtu yeyote pongezi ya kuzaliwa wala sitaki kupewa. Kwanza kama ni pongezi anastahili mama yako kwa kukuzaa! Wewe unapewa zawadi umejizaa??? Haaahaaaahaaaaa!
Te te te kaka iyo kali, ndo tatizo la kayumbaKuna jamaa aliambiwa hepibathdei akajibu sem tu yu.
Happy birthday