[h=2]Habari zenu wenyeji?
Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu uliishia upande ule wa 'guests' na kwa upande huu wa 'members' nahitaji kushikwa mkono, natarajia kujifunza mengi na kuchangia kadri upeo wangu utavyoruhusu.
Habari zenu wenyeji?