Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

Wana JamiiForums Mwanza Tukutane.....

1819s

Senior Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
147
Reaction score
10
Wana Jf Mwanza tukutane siku ya Uhuru tarehe 9.Eneo lastand national nyakato kufanya usafi katika dampoo lilopo Eneo ilo tukiwa na Vifaa vyetu..Tuunge juhudi za Rais Wetu kwa vitendo..PAMOJA TUNAWEZA
 
Wengine Tupo Uhuru Huku,pia Kuna Dampo, So Itakuwaje? Kila Mtu Afanye Aliko
 
yani nitoke zangu capri point nije national dampo kufanya usafi!!! mi ntawasupport kucomment humu
 
Wana Jf Mwanza tukutane siku ya Uhuru tarehe 9.Eneo lastand national nyakato kufanya usafi katika dampoo lilopo Eneo ilo tukiwa na Vifaa vyetu..Tuunge juhudi za Rais Wetu kwa vitendo..PAMOJA TUNAWEZA
Wengine tupo bugarika
 
Usafi nitafanyia iloganzala soko la samaki
 
Hata lije tinga tinga kuniburuta siendi kufanya usafi ng'oo..

Unaonekana Tu! Hata Kuoga Ni Mpaka Ukamatwe, Pia Kama Uli Lelewa Na Kukulia Katka Mazingira Machafu Ni Ngumu Kuwa Msafi, Mi Ntakuwepo Vitunguu Usafi Kama Kawa
 
Back
Top Bottom