Wana IT Naombeni Msaada Wa Pro Namna Ya Kupata Activation Ya Adsense

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,332
Nafanya Blogging Pia Namiliki Blog Moja Inaitwa Gospo Tone Ukifungua hapo utaiona namna ilivyo
naombeni msaada wa kupata approve ya adsense maana nimefanya mara kibao ila huwa nakuwa disaprove
shida kubwa ni mbili naambiwa unsaported Language pia naambiwa Insufficient content
Sasa hii sida inanifanya nakuwa nakata tamaa sasa juu ya kuendelea na blog maana nitakuwa sipati hela sasa.
Naombeni Msaada wenu haswa please wana jamiii niko chini ya miguu yenu wapendwa🙁🙁🙁
 
blog yako ni ya kiswahili, google hawatoi adsense kwa blog za kiswahili siku hizi, wengi wamekimbilia adsense ya youtube ambako kigezo cha kupata matangazo ya adsense huko ni kufikisha views 10,000
 
Weka lugha yao... Vuta subira site ifike at least 1month old... Nunua domain kama hauna....tengeneza gmail account nyingine then tuma maombi ya adsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya Blogging Pia Namiliki Blog Moja Inaitwa Gospo Tone Ukifungua hapo utaiona namna ilivyo
naombeni msaada wa kupata approve ya adsense maana nimefanya mara kibao ila huwa nakuwa disaprove
shida kubwa ni mbili naambiwa unsaported Language pia naambiwa Insufficient content
Sasa hii sida inanifanya nakuwa nakata tamaa sasa juu ya kuendelea na blog maana nitakuwa sipati hela sasa.
Naombeni Msaada wenu haswa please wana jamiii niko chini ya miguu yenu wapendwa🙁🙁🙁
nimecheki blog yako design iko poa hapo shida ni :
1. lugha
2.domain.
ukirekebisha hapo juu hata kama una Post mbili unakuwa approved
 
Ila Nimekutana na Baadhi Ya Blog Ambazo Zipo Katika Kiswahili Lakini Zina Adsense Na Wala sio Website
Sasa Kwa Hapo Inakuwaje Wakubwaaaaa?
 
Ukiona hivyo ujue Hizo site ni kama channel tu... Adsense account. Iliombewa kwenye site nyingine mkuuu

Kwani ukishapata approve ya adsense ni ruksa kutumia kwenye blog au site yoyote ilimradi iendane na vigezo na mashart yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanya Blogging Pia Namiliki Blog Moja Inaitwa Gospo Tone Ukifungua hapo utaiona namna ilivyo
naombeni msaada wa kupata approve ya adsense maana nimefanya mara kibao ila huwa nakuwa disaprove
shida kubwa ni mbili naambiwa unsaported Language pia naambiwa Insufficient content
Sasa hii sida inanifanya nakuwa nakata tamaa sasa juu ya kuendelea na blog maana nitakuwa sipati hela sasa.
Naombeni Msaada wenu haswa please wana jamiii niko chini ya miguu yenu wapendwa🙁🙁🙁
 
Nafanya Blogging Pia Namiliki Blog Moja Inaitwa Gospo Tone Ukifungua hapo utaiona namna ilivyo
naombeni msaada wa kupata approve ya adsense maana nimefanya mara kibao ila huwa nakuwa disaprove
shida kubwa ni mbili naambiwa unsaported Language pia naambiwa Insufficient content
Sasa hii sida inanifanya nakuwa nakata tamaa sasa juu ya kuendelea na blog maana nitakuwa sipati hela sasa.
Naombeni Msaada wenu haswa please wana jamiii niko chini ya miguu yenu wapendwa🙁🙁🙁
Mkuu kikawaida blogs inapaswa iwe kwa kingeleza halafu maneno yasiyopungua 400 post 25 hadi 40 hakikisha haukopi contents zenye copyright hakikisha hakuna page ambayo haina kitu
 
Back
Top Bottom