gumya
Member
- Mar 4, 2015
- 92
- 22
Habari zenu,,
Hivi katika website kuna uwezekano wa kudetect inchi ambayo mtembeleaji anatokea na aweze kuona content za nchi yake tu? Mfano kama hapa jamiiforums pangekuwa panajumuisha watu kutoka nchi zote duniani halafu wewe kama mmiliki wa jamiiforums ukataka labda watembeleaji wote wa kutoka Tanzania wakutane/waone post za watanzania tu na kama watembeleaji wanatokea nchi nyingineyo basi waone/wakutane na post za watu wa nchi yao tu... Je, hilo linawezekana? namna gani linawezekana?