Wana Iringa Naomba Kujuzwa Haya.

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,210
4,172
wasalaam. Ndugu wana Iringa. Naombeni kujua Gharama za Pango la Nyumba.

Self ya vyumba 3. Hata vi2 maeneo ya Mjini hata ikiwa mbali kama km 10 kutoka Mjini. Isiwe ya mchanganyo na watu.

Pili
bei ya mashamba ya kulima. Vitunguu. Nyanya. Karoti. Hoho.

Maeneo yawe na maji ya kutosha na yeye kufikika kwa uraisi.

naomba Msaada wenu kijua Bei Ya vitu hivyo Asanteni.
 
Back
Top Bottom