we uchira1 mbona hilo ndilo lilikuwa chama langu! Kama utakumbuka demu wangu alikuwa Zena na iko siku moja nikakuta wanapeana sound na Godfrey mbwilo pale kwenye mti mkubwa, bahati nzuri shaban wa ndiuka alikuja na yai viza mbili, akapiga walipokaa kisha TUKATELEZA kimyakimya maana tuliogopa jamaa yeye alikuwa darasa la juu yetu na alikuwa superstaa wa Breakdance. unamkumbuka Nassoro eti alikuwa anajidai yeye ni Micheal JacksonHii thread inanikumbusha
mbali sana sana
Tusker Baridii nafikiri tulikuwa wote class moja, mi nilikuwa Class ya 1987, hii thread inanikumbumbusha mbali sana sana, class mate wangu walikuwa ni Kina Joyce Kibasa, Zena Mkwawa, Nyambilia Amuru, Makumulo Waziri, Stewart Mwakabuta, Idi Mtalika, Nasoro Mkwanda, Mercy Sanga, Charles Lusinde, Gloria John (mtoto wa RTO), Moses Mkandawile (RIP). Tulipomaliza seven me nilikukwenda Ifunda Tech Secondary School, lkn Colleagues wangu wengi walikwenda Lugalo Sec.
Namkumbuka sana Nassoro alivyokuwa anafunga mayenu, na yule jamaa wa stori za cinema za kihindi unamkumbuka?? sikumbuki jina lake. Please ni PM.we uchira1 mbona hilo ndilo lilikuwa chama langu! Kama utakumbuka demu wangu alikuwa Zena na iko siku moja nikakuta wanapeana sound na Godfrey mbwilo pale kwenye mti mkubwa, bahati nzuri shaban wa ndiuka alikuja na yai viza mbili, akapiga walipokaa kisha TUKATELEZA kimyakimya maana tuliogopa jamaa yeye alikuwa darasa la juu yetu na alikuwa superstaa wa Breakdance. unamkumbuka Nassoro eti alikuwa anajidai yeye ni Micheal Jackson
Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana (mwalimu wa upe)
Jamaa wa story za movie za kihindi nadhani alikuwa anaitwa IBRA, alikuwa mjanjajanja hivi, kwa mwezi anakuja shule siku kumi tu, nakumbuka alitaka kuniingiza mkenge eti nichukue mtungi wa gesi home nimpe akauze.Namkumbuka sana Nassoro alivyokuwa anafunga mayenu, na yule jamaa wa stori za cinema za kihindi unamkumbuka?? sikumbuki jina lake. Please ni PM.
we uchira1 mbona hilo ndilo lilikuwa chama langu! Kama utakumbuka demu wangu alikuwa Zena na iko siku moja nikakuta wanapeana sound na Godfrey mbwilo pale kwenye mti mkubwa, bahati nzuri shaban wa ndiuka alikuja na yai viza mbili, akapiga walipokaa kisha TUKATELEZA kimyakimya maana tuliogopa jamaa yeye alikuwa darasa la juu yetu na alikuwa superstaa wa Breakdance. unamkumbuka Nassoro eti alikuwa anajidai yeye ni Micheal Jackson
Hahaaaaaa!!!!!!!!!! wewe demu wako labda alikuwa Mecy Sanga au Nikwisa LutufyoKumbe ulikuwa unanichukulia demu wangu Zena? Bahati yako sikukujua, ningekuloga!
Da Peter Macolgate nina picha zake kwenye Album zangu. Enzi zile akiwa na sara Mawere.Hbari za kusikitisha.Pita mitumba AKA pita makolgeti amefariki kama miezi 2 hukom Iringa.
RIP makolgati.
hata mimi wa Gangilonga nimesoma na Nora Kiwia wengine siwakumbuki kabisa
Da Peter Macolgate nina picha zake kwenye Album zangu. Enzi zile akiwa na sara Mawere.
poa kesho nitakuwekea hapa tukiwa Disco Ruaha InternationalTupia basi angalau tumkumbuke!
poa kesho nitakuwekea hapa tukiwa Disco Ruaha International
Nilishasahau nitakuwekea, jumatatu.Kesho yako inakawia mno..
Tusker baridiii! je wewe ninani hasa? nadhani tulisoma wote enzi hizo maana hawa members wote nawajua. Je unamkumbuka ISACK OGUNDESI? Nasoro mara ya mwisho alikuwa moro mhasibu wa manispaa ya wilaya.
Vijana wote ndani ya JF mliopitia Gangillonga "JIWE LINALOSEMA" au ILIGANGA LILONGA (Kwa Kihehe) mmenifurahisha sana kwa jinsi mlivyonikumbusha kuhusu Shule hiyo iliyokuwa imetukuka.Mimi nilitoka pale 1973 wakati Mwalimu Mkuu akiwa Mr.Luhanga,huyo Mwalimu Mndeme (kama ndiye huyo) ndiyo kwanza alikuwa amekuja kuanza kufundisha baaada ya mafunzo yake ya Ualimu. siku kadhaa zilizopita nikiwa kwenye hamsini zangu nilipita hapo Gagilonga ili angalau niione shule iko katika hali gani, kwa kweli inasikitisha utadhani labda ni pango la SIMBLISI.Mandhari nzuri na majengo yaliyokuwa na hadhi, Maabara na Ukumbi mkubwa, maua na Miti mirefu na mizuri yenye maua ya kuvutia vyote hivyo vimetoweka.
Kwa kuwa ninyi vijana mmechangamka kuhusu shule yetu hiyo pendwa na ninaamini mtakuwa katika nafasi nzuri za kuweza kuanzisha wazo la jinsi gani ya kusaidia kuboresha shule hiyo kama moja ya jukumu letu kwa nchi yetu.Leteni wazo hilo hapa JF then tufanye utaratibu wa kuona tutafanya nini kwa ajili ya GANGILONGA yetu pendwa.Serikali yetu ipo usingizi wa PONO sitarajii hata siku moja Manispaa ya Iringa wataweza kuirejesha hali ya Shule angalau kwa 25% only.