Wana filamu kuandamana, kisa Kanumba ka-comediwa!

Insert something smart here ...........

I started but feared the chorus of cries for translation.

Which goes to show that we can only fault Kanumba for his hubris and ironic lack of pride/judgement, but not for not knowing the Queen's diction.
 
Yesterday's show was a display of childish, baseless over reaction by the so called Tanzanian actors. Any language should be spoken well, be it swahili, haya, english or barbaig so Kanumba and his ffan club should get with the program
 
Mimi binamfsi napenda sana mtu kunipa ushauri maana siyo kila siku upo right...hata raisi pia ana mshauri...lakini kwa jinsi navyojua sisi watanzania hatupendi kukosolewa tunadhani tunajua kila kitu....i guess ndiyo maana hatuendelei bado yupo nyuma sana...don't you think?.

I think so too. Yaani movi za home ukizitazama unakosa ham kabisa. Mtu kwao,lakini sisi chetu hakivutii jamani,tuseme ukweli tu! Sasa kinachoshangaza zaidi ni pale hao waigizaji wanavyojaa vichwa na kufikiri ndio masupa staa wa kweli. Wengine ndio hao wanajiita madirector,maproducer na maperformer wenyewe. Bado tuna kazi ya ziada kuwapa info watu hawa.
 
Nakubaliana na wewe mkuu,kweli wamefulia wote kama ulivyowaona kwenye bongo movies jana.After all TZ tuna professional artist wachache sana!
 
Ehh Hii kali! lakini hakuna mtu mwenye kujipatia sifa na baadaye kuwa Public Figure na baadaye akadai kuwa yupu sugu dhidi ya habari ama mambo yake kufahamika kwenye jamii kupitia njia yoyote, iwe komedi, magazeti ya njano ama ya udaku au vyombo vingine makini.

Kanumba anapaswa kufahamu kuwa yeye ni ni Public Figure, akifanya vema atasifiwa, akipiga fyongo watamkandia, na tahadhari kwake ni kuhakikisha kuwa analinda sifa ya kuwa kioo cha jamii kama msanii.

Hapa hoja itakuwepo tu ikiwa kama ameonewa na kwamba yale ambayo yalifanywa na Commedy yanaonesha kuwa ni yeye ameigwa lakini yakawa siyo kweli hapo tunaweza kusema ameoneewa na hata hao wanaotaka kuandamana watakuwa na justification na kuandamana kama wanaona inawasaidia.

Lakini kuna ubaya gani, mtu mathalani akisema, Baba yako Kanumba anakaa Ngokolo Shinyanga halafu akiwa Afisa Mtendaji wa Kata alikuwa anasimamishwa kazi na manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumanga fedha! au Baba yako huwa anatamba na baiskeli na staili ya shati kubwa maana ni pande la mtu, na haya yakaonekana kuwa kweli kuna ubaya.

Jinsi jamii inavyokuona ni wewe ndivyo unavyoiagiza ikuone kwa matendo yako na kauli hata kama wewe hutaki ama unafanya hayo bila kujua.

Pole Bwana Mdogo
 
Mambo Ya Kanumba
Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba.

I was given birth on january 8th 1984. I originate from Shinyanga region in Tanzania. I am Sukuma by Tribe. I completed my Primary Education in Bugoyi Primary School in Shinyanga. After completing my primary education i started my secondary education right away in Mwadui Seminary Secondary School in shinyanga where by i shifted to Dar-es-salaam Christian Seminary Secondary school here in Dar-es-salaam when i was still in form II and complete my O-Level Education there. Thereafter i moved to Jitegemee Sec. School to complete my A. Level Education.

Growing up, acting has always been something that i really liked to do. Apart from that i also liked singing and that made me grave to be an artist while i was still in teens, still in school ie. i started acting in church a lot of people told me i had a talent so i decided to join Kaole Sanaa Group which delt with Acting. After joining Kaole Sanaa Group i met different Teachers from Bagamoyo and other College who helped me to build up my career of Acting for a period of 1 year, after that i got a special Training from University of Dar es salaam Under Doctor Nyoni for about 3 months therefore i was sure to go to work and indulge myself in Soap Operas/Series. i then took acting as my career. Little by little i got to win peoples' attention which made me work even harder and become successful.

After all the hard work that i kept in series i decided to play a part in movies so i took a step forward and associate myself in film industry. i happen to do a lot of movies that did very well in the market and i'm still doing movies up today and it just get better day by day. in addition to this i archieved a lot through my hard work that is prestigious awards, travel across different countries, working with people from different part of the world meeting different people and learn new things and experiencing different life.

I also got to get to work with Nollywood in Nigeria where by i did more than five movies with famous actors from Nolllywood, it was the wonderfull experience. I also got a chance to Visit The United States of America and there is where i got the experience of a lifetime i got visit Hollywood, Warner Bros Pictures, Universal Studios and Disney Land, i learnt a lot i met people who work there so i got to ask alot of Quaestions and gained a lot of knowledge.

Speaking about me as Steven Kanumba i'm a very down to earthguy i like hanging out with my friends and i like to associates myself with people, i love children with all my life, i'm just a simple guy, i'm not outgoing a lot, i love going to movies and just be chilled out and relaxed places. I'm not married for the time being but i am in a commitment in the name of God i hope that one day we will get married.

I would like to end with my most sincerly appreciation, first and foremost i would like to thank God Almighty for giving and Blessing me a beautiful talent cause apart from acting being my Job, it also happen to be something i love doing and when i am at it i do it with passion.
I would also like to thank my whole family but special appreciation goes to the most beautiful woman in the whole world that happened to be my mother (I Love you Mom) would also like to thank Game 1st Quality Tanzania Limited and again special thank to my brother, my executive Producer and my Advicer Mr. Mtitu G. Game and His Wife. I Would like to thank all the Artist, Producers and Directors i have worked with. Also my special Thanks to my sister Sharifa Kalala in USA and Sanura Hussein in Denmark. Most Importantly, i would lastly like to thank all my fans from different part of the world, thank you all very much for supporting me, I LOVE YOU all and God bless you.
................................
Steven Kanumba.
Biography hii ni kwamujibu wa tovuti ya www.kanumba.com
 
Dogo kweli lugha kwake ni tatizo aisee,kama vp angekuwa anatumia Kiswahili ama Kisukuma tu
 
And he is only 25...woow he look too old for his age.....oh well Labron pia he is 20+ na pia anaonekana kama he is over 40 years old hata charles Buckely anaonekana mtoto for both of them.....good publicity bad publicity ....it's all pubilicity!....kanumba achukue ushauri wa watu kama anaingia humu na ajaribu kurekebisha mapungufu yake atakuwa very succesful man compared to where he is now...
 
Last edited:
Hicho kikundi cha 'filamu' ndio kinataka kuchemka zaidi.

Huko nyuma nilishawahi kuandika mada moja kuhusu umuhimu wa kuanzisha kikundi cha ukosoaji wa filamu zetu nchini. Nia yangu ilikuwa ni kuzuia moja ya mambo kama haya ya ukanumba.

Kanumba anapaswa kuchukulia huu ukosoaji wa lugha yake kama changamoto ya kutaka kijiendeleza zaidi, sio kilugha pekee, bali pia kiusanii. Na changamoto hii itumike kwa wasanii wote pia.

Pengine anachoweza kufanya, bw. Kanumba, badala ya kuhudhuria darasa la lugha, anaweza kuajiri a private tutor. Nafikiri hii itakuwa njia mzuri ya kuweza kujiendeleza zaidi kilugha kwa kuwa atakuwa na one-one sessions. Isitoshe waosha vinywa wanaweza hata wasijue kuwa yuko darasani. Watu watakuwa wanashuhudia tu lugha ya Kanumba inatoka kwenye ukanumba na kupanda mpaka kwenye yai lililokamilika.
 
And he is only 25...woow he look too old for his age.....oh well Labron pia he is 20+ na pia anaonekana kama he is over 40 years old hata charles Buckely anaonekana mtoto for both of them.....good publicity bad publicity ....it's all pubilicity!....kanumba achukue ushauri wa watu kama anaingia humu na ajaribu kurekebisha mapungufu yake atakuwa very succesful man compared to where he is now...

Kelly1 unafikiri Kanumba ana nafasi ya kuingia JF? Angie kufanya nini wakati tayari yeye superstar? Kama una akili timamu na ukakutana na Kanumba ukaongea nae kwa dakika 3, lazima utashtuka. Pontless, pumba producer, outdated, kazi kulialia tu anaonewa.
 
Mambo Ya Kanumba
Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba.

I was given birth on january 8th 1984. I originate from Shinyanga region in Tanzania. I am Sukuma by Tribe. I completed my Primary Education in Bugoyi Primary School in Shinyanga. After completing my primary education i started my secondary education right away in Mwadui Seminary Secondary School in shinyanga where by i shifted to Dar-es-salaam Christian Seminary Secondary school here in Dar-es-salaam when i was still in form II and complete my O-Level Education there. Thereafter i moved to Jitegemee Sec. School to complete my A. Level Education.

Growing up, acting has always been something that i really liked to do. Apart from that i also liked singing and that made me grave to be an artist while i was still in teens, still in school ie. i started acting in church a lot of people told me i had a talent so i decided to join Kaole Sanaa Group which delt with Acting. After joining Kaole Sanaa Group i met different Teachers from Bagamoyo and other College who helped me to build up my career of Acting for a period of 1 year, after that i got a special Training from University of Dar es salaam Under Doctor Nyoni for about 3 months therefore i was sure to go to work and indulge myself in Soap Operas/Series. i then took acting as my career. Little by little i got to win peoples' attention which made me work even harder and become successful.

After all the hard work that i kept in series i decided to play a part in movies so i took a step forward and associate myself in film industry. i happen to do a lot of movies that did very well in the market and i'm still doing movies up today and it just get better day by day. in addition to this i archieved a lot through my hard work that is prestigious awards, travel across different countries, working with people from different part of the world meeting different people and learn new things and experiencing different life.

I also got to get to work with Nollywood in Nigeria where by i did more than five movies with famous actors from Nolllywood, it was the wonderfull experience. I also got a chance to Visit The United States of America and there is where i got the experience of a lifetime i got visit Hollywood, Warner Bros Pictures, Universal Studios and Disney Land, i learnt a lot i met people who work there so i got to ask alot of Quaestions and gained a lot of knowledge.

Speaking about me as Steven Kanumba i'm a very down to earthguy i like hanging out with my friends and i like to associates myself with people, i love children with all my life, i'm just a simple guy, i'm not outgoing a lot, i love going to movies and just be chilled out and relaxed places. I'm not married for the time being but i am in a commitment in the name of God i hope that one day we will get married.

I would like to end with my most sincerly appreciation, first and foremost i would like to thank God Almighty for giving and Blessing me a beautiful talent cause apart from acting being my Job, it also happen to be something i love doing and when i am at it i do it with passion.
I would also like to thank my whole family but special appreciation goes to the most beautiful woman in the whole world that happened to be my mother (I Love you Mom) would also like to thank Game 1st Quality Tanzania Limited and again special thank to my brother, my executive Producer and my Advicer Mr. Mtitu G. Game and His Wife. I Would like to thank all the Artist, Producers and Directors i have worked with. Also my special Thanks to my sister Sharifa Kalala in USA and Sanura Hussein in Denmark. Most Importantly, i would lastly like to thank all my fans from different part of the world, thank you all very much for supporting me, I LOVE YOU all and God bless you.
................................
Steven Kanumba.
Biography hii ni kwamujibu wa tovuti ya www.kanumba.com

hawa bwana waache uvivu kwenye kazi yeyote ya sanaa lazima ujue lugha moja au mbili kama unataka kuingia kwenye soko la kimataifa kuna vituo vingi sana hapa dar es salaam vinatoa kozi za kiingereza akajisajili huko ,waliacha hiyo taarifa hapo juu bila kuedit kiingereza kibaya sana sana tena sana
 
Wanaonesha jinsi wasivyojua maana ya usanii wakati wao katika kufanikisha kazi hiyo .... Moja ya kazi ya usanii ni kukosoa .... Asitake tu kusifiwa hata pale anapokesea
Watakaa hapo kutiana ujinga badala ya kwenda shule .... Industry haisongi wanabaki kututolea wanazoziita filamu wanazoandaa kwa mwezi mmoja!
 
hawa bwana waache uvivu kwenye kazi yeyote ya sanaa lazima ujue lugha moja au mbili kama unataka kuingia kwenye soko la kimataifa kuna vituo vingi sana hapa dar es salaam vinatoa kozi za kiingereza akajisajili huko ,waliacha hiyo taarifa hapo juu bila kuedit kiingereza kibaya sana sana tena sana

Au kama vp angeajiri tu watu ambao ni wataalamu wa lugha waiendeshe website yake badala ya kuandika UPUPU wake huu hadharani..Tatizo Bongo kila kitu kuiga tuu,siku hizi kumezuka kasumba ya kila mtu maaraufu(hasa wacheza filamu,wanamuziki wa Bongofleva na watangazaji/maDJ wa redio) kuanzisha websites na tovuti,na vinavyoandikwa kwenye hizo sites na blogs ni PUMBA tupu jamani.Kama lengo lao ni kujitangaza/kuihabarisha jamii ni vema basi wakawa makini katika kuziendesha hizo sites na blogs zao ama wakawaajiri watu ambao ni wataalamu wa lugha(na IT) kuziendesha hizo sites/blogs zao...Ni ushauri tu
 
hawa si wana filamu bali ni wasanii kama wenyewe jana walivyojiita yani pale ndo imedhihirisha kwamba hawa wasanii ni bogus mana uamuzi wao wa kwenda kufanya mkutano kisa kumtetea KANUMBA umedhihirisha kuwa ni wapumbavu. kanumba kachemka kweli kwani uongo? hawa jamaa ni wapumbavu wa mwisho kabisa.. eti RAY nae anashabikia kwakusema anaenda yeye? elimu yenyewe darasa la saba ukatutie aibu kule?

KANUMBA ni mtu wa sifa na hakuna mtu ambaye hajui kuwa kanumba ni mpenda majivuno sasa alivyoenda BBA watu walikuwa wanasubiri wamwone KANUMBA THE GREAT lakni hayakuwa hayo badala yake tukaona kituko cha mwaka YANI KANUMBA NA WENZAKE WAMEONYESHA JINSI GANI ELIMU YAO NDOGO INAVYO WAPELEKESHA NA NDIO MANA WANAKOSA DIRA.

KWANZA BONGO HAKUNA FILAMU HAYA NI MAIGIZO TU SIJAONA MUVI MIMI ILA NACHOONA NI KUKOPI MUZI ZA KINAIGERIA NA KULETA KWENYE MAIGIZO YETU LAKNI BONGO HAKUNA MUVI.. ETI KANUMBA AME ACT MUVI 45 NA 22 AME DIRECT NA NYINGINE ZINAKUJA.. jamani BRUCE LEE MPAKA ANAKUFA HATA MUVI KUMI HAKUFIKISHA,VAN DAMME MWENYEWE HAJAFIKISHA MUVI 20. SASA HII BONGO NIAJE TENA YANI KANUMBA NDANI YA MIAKA 3 MUVI 75?

AFU TOLLYWOOD INA MAANA GANI KWA BONGO? MBONA TUNAIGA SANA? MBONA KENYA WAO HAWAJAITA KELLYWOOD? HIVI WANAJUA MAANA YAKE KWELI?

Nakuunga mkono mia kwa mia, hii ya hapa kwetu hata maana ya usanii haijuwi!
 
Ningefurahi kama hao wanaojiita watetezi wa kanumba wangekusanyika kuchagua mwenyekiti wa kamati ya kufanya fund-raising ili kumuwezesha mzee kanumba akasome english course badala ya kuuza meno kwenye TV. Na nirishawahi kusema jamani British Council wamewekeza resources nyingi ili kuhakikisha watanzania tunaboresha english zetu. Mr. kanumba and your colleagues, please make optimal use of the British Council's investment, you will surely never think of wasting your time and money brainstorming mechanisms or strategies to fight back to your fellow artists-the comedy.
 
Dogo kweli lugha kwake ni tatizo aisee,kama vp angekuwa anatumia Kiswahili ama Kisukuma tu
Tatizo ni kwamba kijana bado hajakubali kwamba kiingeletha kwake kinaleta mzozo kwenye fani yake!!Kwa mtu yeyote,mwenye akili timamu, ambaye anajali kazi yake na anaelewa kikwazo kiko wapi basi nina uhakika atatafuta njia yeyote kuondoa hicho kikwazo!!Sasa ukute jamaa bado hajagundua hilo!!!na ndio maana baada ya kuambiwa ukweli imemuumiza sana!!(si unajua ukweli unavyong'ata??)....Ushauri wangu kwake ni kwamba "DOGO HIYO NI SHOCK TU YA KUSTULIWA NA WANAJAMII KWAMBA KWENYE LUGHA YA KIINGLETHA WEWE NI KILAZA TAFUTA SOLUTION NA SIO MALUMBANO!!"
 
Samahani mie nitapingana kidogo na wachangiaji hapo juu, Hvi ni Watanzania wangapi wanaweza kuongea sentensi 5 kwa kiingereza bila kuboronga?? Ni wachache ambao wamepata bahati ya kusoma shule za English Medium na wengine wengi ambao wazazi wao walikuwa na uwezo wa kuwapeleka ulaya wakasome. Sisi wengine tuliosoma shule zetu za kina Kanumba hatuwezi. Na hata ukienda kujiendeleza kusoma kiingereza kuflow inakuwa ni ngumu sana. Mie nafikiri badala ya kumcheka na kum-critisize labda tungetafuta namna ya kumshauri.

Kama mnaangalia Big Brother kuna Mshiriki wa kiume kutoka Msumbiji anaitwa Lionel hajui kabisa Kiingereza na anachapia ile mbaya, Tujiulize kitu kimoja kwani Kiingereza ni lugha yetu??? Watu mmeifanya issue sana, Na wala sio suala la shule kwani ni wangapi wamesoma mpaka Chuo Kikuu na Degree zao lakini hawawezi ku-flow kiingereza? Sio tu wasanii wenzake hata sisi tupo wengine wengi ambao hatukupendezewa na namna watu walivyoli-handle suala la Kanumba akiwa BBA

Tuache Kasumba ya kikoloni lugha yetu ni kiswahili na ndio 'Communication Language yetu Watanzania.

Swala hapa sio kuongea kiingereza...swala ni wasanii wanataka kuandamani kisa kukomediwa....sasa kama unasoma between lines utaona point!
 
hicho kikundi cha 'filamu' ndio kinataka kuchemka zaidi.
huko nyuma nilishawahi kuandika mada moja kuhusu umuhimu wa kuanzisha kikundi cha ukosoaji wa filamu zetu nchini. Nia yangu ilikuwa ni kuzuia moja ya mambo kama haya ya ukanumba.

Kanumba anapaswa kuchukulia huu ukosoaji wa lugha yake kama changamoto ya kutaka kijiendeleza zaidi, sio kilugha pekee, bali pia kiusanii. Na changamoto hii itumike kwa wasanii wote pia.

Pengine anachoweza kufanya, bw. Kanumba, badala ya kuhudhuria darasa la lugha, anaweza kuajiri a private tutor. Nafikiri hii itakuwa njia mzuri ya kuweza kujiendeleza zaidi kilugha kwa kuwa atakuwa na one-one sessions. Isitoshe waosha vinywa wanaweza hata wasijue kuwa yuko darasani. Watu watakuwa wanashuhudia tu lugha ya kanumba inatoka kwenye ukanumba na kupanda mpaka kwenye yai lililokamilika.

original comedy jana wakipa jina chama chao....chawafila(cha-chama, cha wa-wacheza fi-filamu.
yaani jana ndo wameua tena...
 
Samahani mie nitapingana kidogo na wachangiaji hapo juu, Hvi ni Watanzania wangapi wanaweza kuongea sentensi 5 kwa kiingereza bila kuboronga?? Ni wachache ambao wamepata bahati ya kusoma shule za English Medium na wengine wengi ambao wazazi wao walikuwa na uwezo wa kuwapeleka ulaya wakasome. Sisi wengine tuliosoma shule zetu za kina Kanumba hatuwezi. Na hata ukienda kujiendeleza kusoma kiingereza kuflow inakuwa ni ngumu sana. Mie nafikiri badala ya kumcheka na kum-critisize labda tungetafuta namna ya kumshauri.

Kama mnaangalia Big Brother kuna Mshiriki wa kiume kutoka Msumbiji anaitwa Lionel hajui kabisa Kiingereza na anachapia ile mbaya, Tujiulize kitu kimoja kwani Kiingereza ni lugha yetu??? Watu mmeifanya issue sana, Na wala sio suala la shule kwani ni wangapi wamesoma mpaka Chuo Kikuu na Degree zao lakini hawawezi ku-flow kiingereza? Sio tu wasanii wenzake hata sisi tupo wengine wengi ambao hatukupendezewa na namna watu walivyoli-handle suala la Kanumba akiwa BBA

Tuache Kasumba ya kikoloni lugha yetu ni kiswahili na ndio 'Communication Language yetu Watanzania.

Acha kutetea ujinga.......kwani aliambiwa pale lugha ya kuongea ni kimakonde? Si alijua ni lugha gani inatumika, sasa kama alijiona yuko finyu kimbelembele cha nini? Mtu hapimi afya yake kwa kujilinganisha na mgonjwa!
 
Back
Top Bottom