Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Sina nia ya kutetea kuchemsha kwake,,, ila langu ni kuwaasa wenzangu na mie,,, kama hakipandi sawasawa si ulonge kiswahili tu! Sio wote wanaojua kiinglishi na hata hao wanaojua hicho kilugha cha malkia huamua kukamua kilugha cha kwao. Kwani kwenye movie zote huwa wanabonga king'eng'e. Tusimwandame sana huyu bwa mdogo kwa kuchemsha ila ajipange kama anataka maujiko ya kuonekana anajua kiinglishi basi tuition zipo.
Kwa kitendo chao cha kutaka kuandamana huo ni ufinyu wa akili. Mtu/msanii yeyote aliyekomaa kisanii anatakiwa awe na upevu wa kuelewa na kukubaliana na matokeo yatokanayo na sanaa yake. Hivyo yambidi kujipanga ili kuepusha mazila zaidi mbeleni.
Msanii ni kioo cha jamii hivy kuanza kukurupuka na kutaka kuandamana ni kufilisika kiakili. Kifupi ni aibu kwa KANUMBA na watakaotaka kuandamana.
Ningekuwa mimi Kanumba ningekaa kimya na upepo ungepita kisha merikebu ingesonga mbele bila kukumbwa na dhoruba.
Nikiwa kama mtaalamu wa masuala la filamu, sijawahi kuona filamu inayotengenezwa kwa muda mfupi kiasi cha mwezi kila kitu kimekamilika. Ukiangalia sana hata maudhui ya movie hizo hayajulikani. Hata baadhi yake huwa zinaishia kwa mhusika mkuu kufa na huwa anafufukia kwenye movie nyingine.
Wasanii wajipange upya,,,, waache ubabaishaji.